TRA wanavyofunga biashara za wazalendo

Mbona nyambafu wengi zaidi mnao majumbani kwenu wakijenga mahekalu huko Kimara, Kinsudi, Bonyokwa na kwingineko.
Semeni tu !
Tulianzishe kuleta picha humu mtandaoni?
Na uzuri siku hizi unaweza weka hata google location.
Takukuru na vyombo vingine vianzishe uchunguzi kwa maofisa vinara wa kuwabambikia kodi kubwa kufunga Account za wafanyabiashara kienyeji ili wakamate mali zao majumba yao ikibidi washitakiwe iwe fundisho kwa wengine wenye Tabia mbovu kama za hao wachache wasiokuwa waaminifu
 
Kwa nin uwatake Wana-JF ndio waje na hao watu?

Unafikiri suala la kufunga akaunti ya mtu ya Benki ni suala la mtu mmoja? Kila kitu kinajulikana na sio wao waamue wao kama wao ila ni suala la Ki-Taasisi. Hivyo kuwasimamisha hao kazi ni kuwaangushia jumba bovu la Taasisi, wangeanza na nani anatoa amri ya watu kufungiwa akaunti zao na kwa nin wanafanya hivyo. Tofauti na hapo ni sanaa tu kama zile za Bagamoyo.
 
Mkuu kuna vinara humu hawajui kuwa tunaishi nao mitaani.
Wanafikiri tunachoongea ni majungu.
Ni rahisi ku compile picha na location za mahekalu yao.
 
TRA wengi wamejitajirisha kumiliki mali majumba kwa Rushwa wanayopata toka kwa wafanyabiashara mbalimbali ni wakati sasa wote wachunguzwe kuona kama magari nyumba na mali wanazomiliki zinaendana na kipato chao?
 
Zipo Sheria za kufunga Account ikiwa ni pamoja na kumwarifu mmiliki wa Account kabla ya kufunga Account, lakini baadhi ya maofisa vinara wa Rushwa huwa hawazifuati Sheria hufunga Account kienyeji tu kutengeneza mazingira ya Rushwa
 
Mkuu nimekuelewa,nakuli maelezo yako kutokana na mabadiliko ya kila wakati Sina shida na hii labda
tu inakuaje mfanyabiashara may A amekuwa akifunga mahesabu kila mwaka na TRA pamoja na mabadiliko ya kila mwaka then badae hao TRA wanaludi KWA mlango wa nyuma,kwamba hukujua hulipi kodi vizuri ,unapewa charge ya mapesa mengi,hii mkuu tatizo kua wapi, na ni vipi laweza epukika na wafanyabiashara?
 
Nikupe swali jingine rahisi ili kuku expose dunia nzima ijue aina ya watuwetu wa kodi tulio nao.

Je katika biashara yako uliyoieleza , profit yako ni kiasi gani?
Wewe ni Mjasiriamali wa level gani, mbona unauliza vitu very basic, wewe ni presumptive tax payer, unatakiwa niulize vitu vikubwa. Niulize nikufanyie tax Planning za biashara zako ili upate unafuu wa kodi katika sector ya biashara uliyopo, hizo ndio interview ninazoulizwa sio huo ujinga hapo.wewe niulize nitakujibu on spot hapa achana na maswali ya kitoto hayo wanayouliza presumptive taxpayer.
 
Tulieni Dawa yenu inaiva
 
Hizi kazi inabidi wapewe watu waliowiva.
Mfano uliotoa kweli ni kilaza.
Sawa mimi kilaza.ndio uzuri wa kutumia wrong I'd. Mimi najulikana humu physical na wanajf kadhaa .unavyoniita kilaza ndio kwanza wanakushangaa wewe
 
Jibu swali acha longo longo!
 
Zipo Sheria za kufunga Account ikiwa ni pamoja na kumwarifu mmiliki wa Account kabla ya kufunga Account, lakini baadhi ya maofisa vinara wa Rushwa huwa hawazifuati Sheria hufunga Account kienyeji tu kutengeneza mazingira ya Rushwa
Leteni orodha ya hao maafisa na ofisi wanazofanyia kazi.


Watu wapo kazini.
 
Kila mfanyabiashara ana TIN number kwa ivyo unapolipa kodi wanaona.

Sasa baada ya kulipa kodi zako ata kama ujazulumu aina maana TRA awawezi kuja kukukagua kwa sababu wao sio collectors tu but also enforcers kuhakikisha kodi unayolipa ni sahihi.

Sababu zinazoweza kuja kufanya waje kukutumbelea baada ya kulipa kodi zipo kadhaa.

Mojawapo size ya business yako aiwezekani biashara za Mary na Mariam ziwe almost size sawa, zipo maeneo ya karibu, inventory zao almost sawa na madai ya input VAT karibu sawa.

Halafu kwenye kulipa output VAT na profit tax kuwe na variation kubwa kati ya hawa wafanyabiashara wawili. Ikiwa ivyo anaelipa kidogo anawapa wasiwasi wa kwenda kuchunguzwa, wakikuta kweli umewazulumu ndio shida inapoanza.

Note: not always necessary the case biashara kufanana kwa size ina maana na kodi zao lazima zifanane kuna sababu kadhaa pia inawezekana mmoja wao ana accountant mzuri wa kuhakikisha anatumia kila loop hole kwenye sheria kwa manufaa yake kupunguza kodi or whatever.

Sababu nyingine kushuka kwa ulipaji wako wa kodi historically uwezi ukawa unalipa average ya kiasi kadhaa mara tu kodi zako zikashuka.

Mwisho ata kama kila kitu unacholipa sawa na average businesses za size yako they can just drop in. After all they are entitled to as tax enforcers muhimu ni kuweka kumbukumbu zako sambasamba na kufuata matakwa ya sheria kama vile kuwa na hesabu zako za nyuma as well as your current ledgers.

Ukikutwa na tatizo ndio madai ya fines au surcharges yanapoanzia.

Matatizo ndio yanakuwaje depending on what is stated in the law mfano what accounting items you need to keep for auditing purposes, na kila kosa watalokikuta fines zake zinaelezewa kwenye sheria. Zingine kama ni first offence fines zinaweza kuwa ndogo ukirudia zinaongezwa, nyingine zinakuwa calculate based on periodic interest etc as stated by the law.

Busara ni kutumia accountants.
 
Sawa mimi kilaza.ndio uzuri wa kutumia wrong I'd. Mimi najulikana humu physical na wanajf kadhaa .unavyoniita kilaza ndio kwanza wanakushangaa wewe
Vijana msijikweze maisha ni pesa na pesa n maisha

Hakuna mtu atekayekuuliza hivi Baba ulikula nyama sana zamani au ulivaa sana vizuri,Au ulisoma sana

Watoto watakuuliza pesa tu,Story za kodi ,Sijui mimi mtaalam hazina msaada kwa familia

Leo hii ndio maana vijana wadogo wana pressure ,Anamaliza chuo anakuta vijana mtaani wana magari na nyumba na walifeli darasani
 
Sawa wenda huu ndo utaratibu mzuri mkuu wa watumishi waadilifu,but wa Sasa wanatumia mwanya huo kukubambikia kodi mpaka m300 how comes ,
 
Sawa wenda huu ndo utaratibu mzuri mkuu wa watumishi waadilifu,but wa Sasa wanatumia mwanya huo kukubambikia kodi mpaka m300 how comes ,
Utabambikiwaje kodi kama kila kitu unacho ngoja nikupe mfano wa vitu ambavyo unatakiwa kuwa navyo kama ushahidi.

By the way hizi ni evidence za huku kijijini kwetu, nina uhakika kwenye sheria zetu za nchi kutakuwa na similarity maana sisi tunachojua ni copy and paste.

Ushahidi wa kutunza kwenye accounting records:
Ledgers
List of orders made
Mawasiliano na supplies kama ni emails
Delivery notes
Till receipts
Bank statement
Annual accounts zilizopita
Uwe na separate VAT accounts
Copy of tax invoices

Kwa upande wa VAT na kwenyewe
Invoice unayotoa inabidi iwe na TIN number yako
VAT registration number
Address ya biashara
Details za mteja wako kama na yeye ni VAT payer including address
Amount charged before VAT
Amount of VAT charged.

Hizo info zinawafanya waweze trace kila kitu hadi kiwandani au kufanya bank reconciliation. You can’t cheat a tax man kwa mbinu. Usipokuwa na hizo records makadirio ndio yanapoanzia.

Njia pekee ya kupunguza kodi ni kutumia allowed and disallowed expenditures kwenye profit tax.

Hila VAT and P.A.Y.E hapo ndipo kwenye makusanyo ya serikali ata pale wanapotoa incentives zingine za kuvutia uwekezaji wanajua watapoteza profit tax mwanzoni kwenye uwekezaji mpya ila utazalisha.

Hapo kwenye kuzalisha wataongeza mapato ya VAT utaajiri watu kuna PAYE, more people will earn money and spend therefore retails will pay more taxes and in the future huyo mwekezaji atalipa tu profit tax na yeye kiwanda chake kikiwa stable; that cycle leads to growth in tax base and the economy.

Kwa ivyo hakuna serikali yenye mzaha kwenye VAT tax and PAYE.
 
Wametumwa hao na kinachofanyika kinafahamika vizuri sana. Sasa hivi mabeberu wamegoma kutoa hela kutokana na rekodi mbaya ya utawala bora na demokrasia. Hivyo kinachofanyika ni kupora hela za watu kinguvu. Rejea uporaji wa hela za Bureau de change.
Sasa shilingi zitawasaidia nini na tunahali mbaya ya forex hakuna hata kuagiza vitu nje ni issue.
 
Mimi nikimaliza hii mitano ya huyu mwamba sijafilisiwa au kwenda jela nitafanya sherehe kubwa ya kukata na shoka!Wafanya biashara tupo tu hata hatuelewi kesho yetu.
 
Mi5tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…