Elimu ya mlapa kodi ipite kwa wafanyabiashara wote na TRA waache kufanya kazi kwa kufukua makaburi waige mfano wa Zanzibar ZRA kwa kuendelea walipo kwenda mbele pasipo kumdhulumu mtuNimefuatilia maelezo yako mwanzo Hadi nimepata kitu.
Unawashauri Nini wafanyabiashara kuhusu Mambo ya kuzingatia ili kupunguza masononeko na Hawa TRA.