TRA wanavyofunga biashara za wazalendo

ajiri tax consultant wa maana
Ninaye ambAye ninafanya naye na kumlipa kwa task lakini bado imekuwa ngumu na hawa ma tax consultant wengi huwa wanafanya deal na ma officers wa TRA ili kuumiza wafanyabishara hasa pale ambapo umeshindwa kuingia anga zao lazima wakuchinjie baharini.
 
TRA inaweza kuwa inaongoza tanzania kwa kuajiri majembe tanzania ndio taasisi bora kimahesabu kwa mujibu wa bodi ya wahasibu tatizo maagizo
TRA ni wauAji wa biashara hawastahili sifa yoyote
 
Yaani ni mambo ya ajabu kodi ni nyingi na hazilengi kusaidia wafanyabishara bali hulenga kuwaumiza wafanyabaishara
 
Ume misquote , rudi nenda ka quote ulie tarajia Ku quote

Wazazi wako bora wangetumia condom tu,
Unakua kama nyumbu, unavamia tu kila kinachokuja mbele yako
Wewe mbweha ebu acha ufala wako naona umevuta Bangi kuja kuvuruga mada unyumbu wako peleka kwa wavuta Bangi wenzako, acha kutetea maofisa wa TRA waonevu kwa wafanyabiashara kwa njia haramu za kishetani
 
Mbinu zipi wamezuia? usumbufu wao kwa wafanyabiashara hauna uhusiano na hivyo visingizio vyako, kwenda kumbambikia mfanyabiashara kodi kubwa kufunga Account yake vina uhusiano gani na hayo? Acha kutengeneza visingizio vya kishamba kuharalisha uonevu manyanyaso ya baadhi ya maofisa wa TRA wasio waaminifu
 
Nini kifanyike Sasa, maana wanapoelekea watasababisha NDUGU zetu wengi kufa mapema Kama sio kwamba wameisha anza ,
Takukuru waingie kazini maofisa wote vinara wa kuwabambikia kodi kubwa kufunga Account za wafanyabiashara kienyeji kishamba kwa njia haramu za kishetani wachunguzwe mali zao na ikibidi washitakiwe
 
Ninaye ambAye ninafanya naye na kumlipa kwa task lakini bado imekuwa ngumu na hawa ma tax consultant wengi huwa wanafanya deal na ma officers wa TRA ili kuumiza wafanyabishara hasa pale ambapo umeshindwa kuingia anga zao lazima wakuchinjie baharini.
Sio kweli
 
labda unaokitana nao hao wa presumptive taxes.mi muhasibu wa kampuni ya mtu ukweli hawa wa LTD ni wakali balaa
Vilaza tu wote, you included.
Sasa wewe unayejua hebu tudadavulie maana ya hizo taxes , Zikichukuliwa kwa uhalisia.
Mwisho wa siku unakuta kuwa ni wizi tu.
 
wewe si ndiyo ulisema humtaki 'Bi Kidude' kule Kawe, vipi ambulance alizoahidi 'Mrembo' zimewasili?
 
Huenda utakuwa mhusika hautaki kung'amua ukweli au haujawahi kuwa mfanyabiashara
Jukumu namba moja la tax consultant ni kimlinda mteja tunaamini mteja akiendelea ku-exist sokoni hata sisi tax consuntants tutazidi kuwepo sokoni na maisha yanaendelea. Na pia wateja tunapata kwa kuunganishiwa na wateja ambao tumeshawasaidia, sasa nitapataje wateja wapya kama mimi nakula njama na TRA wapigwe kodi kubwa.ndio maana nikakukatalia
 
Kama upo ukanda wa bahari nikutafte?
 
Mbona sikuelewi mkuu 'minyoo'.
Nimetoa visingizio gani vilivyokuvuruga akili kiasi hiki?

Sikatai kwamba kunaweza "...kuwa na usumbufu" katika utendaji kazi wa watumishi wa TRA.

La msingi ninalolizungumzia hapa ni kwamba pande zote zinaweza kubeba lawama, kutokana na kutokuwepo na mfumo maalum unaowezesha kodi zilipwe bila ya misuguano mingi kama ilivyo sasa.

TRA wana wajibu kuweka utaratibu mahsusi unaoeleweka vizuri na walipa kodi; na walipa kodi wawe na ufahamu mzuri wa utaratibu uliowekwa na TRA ili wasisumbuliwe baadae na madai yasiyokuwa na uhakika.

Nimetoa mfano wa wenzetu huko nchi za nje, ambako sio lazima kufuatilia mlipa kodi kila mahali, kwa vile wajibu wake anaufahamu na miundombinu imewekwa aitumie ili alipe kodi bila ya usumbufu mwingi.

Hapa sielewi unanilalamikia nini kuhusu "visingizio".
 
Takukuru waingie kazini maofisa wote vinara wa kuwabambikia kodi kubwa kufunga Account za wafanyabiashara kienyeji kishamba kwa njia haramu za kishetani wachunguzwe mali zao na ikibidi washitakiwe
Hawa maofisa kama wapo ni lazima washughulikiwe, "wachunguzwe mali zao...); na hapo hapo usisahau wafanyabiashara ni lazima walipe kodi zao stahiki. Hilo haliepukiki.
 
TRA ifumuliwe isukwe upya wale maofisa vinara wa kuwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara kuwafungia Account zao waanze kuchunguzwa na Takukuru kwani wengi wamekuwa matajiri kwa Rushwa hii utapunguza uonevu uliokithiri sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…