TRA wanavyofunga biashara za wazalendo

Mkuu pale Bungeni ni wabunge siyo misukule kama unavyosema.
Na Wabunge wana kazi kubwa ya kubadili sheria ya Kodi ili indane na uhalisia.
Sasa ndio wakati wa wabunge wa chama tawala kuonyesha kuwa wanaweza kwenda sambamba na serikali ili kubaoresha sekta ya biashara ambayo sasa hivi inadidimia kutokana na kodi zisizoelewela.

Nimefurahia msimamo wa Rais Hussein Mwinyi katika hili.
Yeye amesema wazi hapendelei kodi za kuumiza mfanya biashara , bali kodi ndogo ili zilipike kirahisi na kwa wingi.
 
Sasa hii ni State Robbery.
Na haya yanafanyika kila leo.
Pole sana mkuu, kama nawe umefikiwa.

However, I should remind you; you need to be consistent.

IfahamikesSitetei upande wowote hapo. Kwa upande mmoja umesema "makosa ya kiuhasibu", na huo wapili unaoulalamikia, kazi yao ni kukusanya kodi ili serikali iweze kuendesha mambo yake. Kama wanagundua "makosa ya kiuhasibu" yaliyofanyika na kuikosesha serikali mapato, hapo sasa wafanyeje?
Ninalokubaliana nalo ni makosa ya kufunga biashara.
 
Bank sasa siyo mahala salama kwa pesa za wafanyabiashara kwani TRA huenda kufunga A/C kienyeji na kupora pesa za wafanyabiashara kwa njia haramu za kishetani
Hii ni changamoto kubwa sana ...hii kitu ni mbaya sana unafika bank unakutana na statement ya maagizo
 
Kwa hiyo unamlilia nani sasa? Fafanua mana madudu haya yapo toka kitambo shida ni kwamba wewe uliishia kama malaika sasa kuwa shetani hutaki...
 
Wewe ndio uliongea na wafadhili hao? Hii mbona kali
 
Bank sasa siyo mahala salama kwa pesa za wafanyabiashara kwani TRA huenda kufunga A/C kienyeji na kupora pesa za wafanyabiashara kwa njia haramu za kishetani
Hahahahahaaa, na wasipoweka bank wataanza kuja kusachi majumbani mwenu
 
Kwa hiyo unamlilia nani sasa? Fafanua mana madudu haya yapo toka kitambo shida ni kwamba wewe uliishia kama malaika sasa kuwa shetani hutaki...

Nchi hii ni ya watanzania. Tusipojua kutengenisha siasa zetu za vyama na maisha yetu ya kawaida, tutaendelea kuwa maskini wa mwisho.
Issue za TRA sio za leo wala jana. Zipo miaka mingi. Umefika muda sasa ziangaliwe. Kukwepa kodi, sehemu kubwa walikuwa wanachangia wao. Risiti feki nani aliyekuwa anatengeneza na wao bila kujua?
Sasa wamehamia kukamua kodi ambazo wala hazipo. Hawa jamaa wanajijari wao tu. Rushwa tupu. Sasa hilo nalo ni tatizo la nani?
 
Kwa hiyo unamlilia nani sasa? Fafanua mana madudu haya yapo toka kitambo shida ni kwamba wewe uliishia kama malaika sasa kuwa shetani hutaki...
Kama hayakuhusu kukaa kimya unaona mzigo?
Pilipili hii ya shamba wewe haikuhusu bro..........!
Kaa kimya tu ule mkate wako!
 
Ni kweli mkuu.
Ideally , kodi hutokana na mapato.
Sasa kodi ikigeuka kuwa fine kama za traffic wa barabarani kuwa ndio msingi wa mapato, hapo maana ya kodi, kwa msingi wa kuyapiga kodi mapato ya kibiashara tena hakuna.

Kwa misingi hiyo kama vitabu havijakaa vizuri unalipishwa mamilioni.
Ndiyo, serikali inapata mapato lakini si kwa maana ya kodi ya mapato ya kibiashara kama tunavyofahamu.
 

Wameshafika mpaka kwa wakulima. Hii niliifungulia post naona mod wameifuta
 
Jiwe alianza kuwawinda akina massawe, mushi, mosha, mbowe, muro nk amewamaliza sasa yuko na hao waliokuwa washangiliaji!! hadi mkome kuvaa chupi za kijani yenye picha ya dubwana baya lenye vichwa viwili! kikwetu tunasema kura waya/saga chupa/kunyweni sumu tu mlipoambiwa ni muovu mlitoa mimeno kama ngiri hadi mtakoma!! poleni eeh ndugu
 
Asante ndugu.....!
 
Asante ndugu.....!
For some reason, I am with 'him' (vichwa viwili) on this!

Sio kila jambo lifanywalo ni baya. Utekelezaji kwa baadhi ya watumishi unaweza kuchangia sana mwonekano huo.

Kule kwingine ulikowahi kuandika kuwa umewahi kuishi huko, sijui mtu utakwepaje kulipa kodi stahiki!
Hapa kwetu hata kutoa tu 'receipt' ya mauzo ni kazi, na ukiidai unatazamwa kwa jicho kali sana. Huko kwingine hawahangaishwi tena na hivi vi-risiti vya mauzo. Bidhaa inapo'scanniwa' wakati wa mauzo, tayari na kodi imeshaingia mahala stahili. Sijui TRA watatufikisha huko lini?

Baadhi ya kelele na vilio vingi hivi vinaweza kuwa vinasababishwa na mafanikio ya kuzuia mbinu za kukwepa kodi wanazozifanya TRA.
 
Hii habari ya kutaka kujenga nchi kwa hela za ndani itatugharimu kama taifa.

Tutabanwa hadi tubanike, saivi naona Leseni ya Udereva imepanda toka 40,000 hadi 70,000 halafu kimya kimya, hatutangazi sasaivi ili msije kupiga kelele. Yaani unaongeza kodi kwenye leseni ya udereva kwa 75% serious?
 
Masuali yangu ni haya mawili tu kwako mleta mada.

1. Kuna biashara gani ambayo si ya mfanya biashara?
2. Mzalendo ni nani?
 
Mkuu sio kila kitu ni siasa.

Ebo kodi ni siasa Mkuu,hivi kura yako una piga kwa kutazama sura ya mtu au rangi ya chama !.

Kuna jirani yangu wakati wa kampeni alikuwa mshabiki mzuri wa mboga mboga juzi kati shule ya mwanae imepigwa pini na TRA (St Jude) kabaki kulia lia tu kamwambia Sisi tumeshazoea kulipa school fees wewe ulikuwa unasaidiwa sasa nenda kaombe msaada ulikoshabikia.

Halafu kuna uhusiano gani kati ya ujinga na kushabikia utawala huu ?.Utafiti wangu unaonyesha wajinga wengi ni wapenzi wa Mboga mboga.
 
Tatizo hata wenyewe wanashinda kutafasiri sheria, wanakimbilia, afisa anaruhusiwa kukadiria kodi anavyoona, Suluhisho ni kubadili sheria na kufanya kila kitu online, bila kukutana na ofisa wa tra kama nchi zilizoendelea.
 
Tatizo mtu akifika mwisho wa kufikiri huwa hana hoja ya kuchangia!
Undelea na tafiti zako zisizo na machapisho wala rejea, pengine utapata point za kuchangia.
 
Huwezi kutenganisha mfumo mbovu wa utawala na taasisi ambazo ziko chini ya mfumo wa kisiasa. Kwa hiyo dawa ni nini?
 
Kwa hiyo solution ni kulilia mitandaoni ndio watajirekebisha? 😂😂 Kama suluhisho hujui bora hata usingeandika,mana haya malalamiko yashasemwa sana, wafanyabishara, wanasiasa na wawekezaji pia. Unahisi ili TRA ijirekebishe nini kifanyike?
Kama hayakuhusu kukaa kimya unaona mzigo?
Pilipili hii ya shamba wewe haikuhusu bro..........!
Kaa kimya tu ule mkate wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…