Ni ya mkataba, unafanya kurenew baada ya muda fulaniJiandae kutembea sana maana ni fieldwork hiyo, kuhusu mshahara inategemea na kiwango chako cha elimu (astashahada /diploma /certificate.
Hiyo kazi umepata ya kudumu au ni contract ya muda fulani tu?
Basi make sure ukianza, tengeneza source of income nyingine pembeni, hizi kazi za ku-renew mikataba huwa zina changamoto kimtindo.Ni ya mkataba, unafanya kurenew baada ya muda fulani
Ndio ivyo, maisha ni ku take risk.. Hao ambao wanakula viyoyozi kwenye LC300 mala lexus wamekubali ku take risk, na wengine hadi wame washambo mabomba watu 29 October nao wali take riks piaAkidakwa ajali kazini.
Get rich or die trying
Ni kweli ila kiuhalisia kila kitu kina changamoto, tunatofautiana tu namna ya kupokea,kuelewa, kusolve ama kusonga mbeleBasi make sure ukianza, tengeneza source of income nyingine pembeni, hizi kazi za ku-renew mikataba huwa zina changamoto kimtindo.
Kazi za mkataba ni za kufanywa kwa mkakati haswa, maana mkataba unaweza kukata, kurenew ikawa kipengele.Ni kweli ila kiuhalisia kila kitu kina changamoto, tunatofautiana tu namna ya kupokea,kuelewa, kusolve ama kusonga mbele
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, hii ni kauli ya Rais, sasa nchi watakatifu bakini na utakatifu wenu 😂.. sie acha tuibeNakubali, sema duniani kila mtu ana fikra/ mitizamo tofauti.
MAWAZO YA KITAA/ WANA ukisikiliza both yana nafasi sawa ila namna utakavyo yatafsiri na kuyaweka kwenye uhalisia wa maisha yako binafsi ili yalete nguvu changa hapo ndo utagundua kipi kilikuwa sahihi/ si sahihi.
Safi sana mkuu, usichague kazi bila kujali una degree, fanya kazi yoyote, kazi ya ndoto yako itakuja tu.Degree
Waswahili wanasema kama umeamua kula nguruwe kula aliyenona. Na mimi nasema kama umeamua kuiba basi iba kiasi kikubwa cha kutikisa hisia za watu ili kwenye kesi uwe na uwezo wa kuweka wakili. Wezi wa hizi hela ndogondogo huwa ni kama wanaikera mahakama na kujikuta wanapigwa miaka ya kutosha jela. Kijana anayeanza kazi ninamshauri asiibe maana atatumika kama mfano ili iwe fundisho kwa wengine.Kama unaona ushauri wa kipumbavu sawa, ila nchi yote ni wezi kuanzia namba 1 hadi namba ya mwisho
Rais wako mwenyewe ni kielelzo, alisema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, acha ujuaji mbung'o weweWaswahili wanasema kama umeamua kula nguruwe kula aliyenona. Na mimi nasema kama umeamua kuiba basi iba kiasi kikubwa cha kutikisa hisia za watu ili kwenye kesi uwe na uwezo wa kuweka wakili. Wezi wa hizi hela ndogondogo huwa ni kama wanaikera mahakama na kujikuta wanapigwa miaka ya kutosha jela. Kijana anayeanza kazi ninamshauri asiibe maana atatumika kama mfano ili iwe fundisho kwa wengine.
Malipo ndo kama nilivyokwambia wanaweka chini wanaamini utapata zaidi ya iyo na kweli unaweza weza usitumie mshaala kabisa kama umepata halimashauri ukapangiwa labda kwenye choo cha kulipia unachangisha yani hapo umetoboaExactly, malipo huwa yakoje Mkuu🙏🙏
Nakubali, sasa napataje ikiwa kila kitu kinaenda kielektroniki, I can guess kama si sokoni/masoko basi itakuwa stendi sema hizi za kawaida.Malipo ndo kama nilivyokwambia wanaweka chini wanaamini utapata zaidi ya iyo na kweli unaweza weza usitumie mshaala kabisa kama umepata halimashauri ukapangiwa labda kwenye choo cha kulipia unachangisha yani hapo umetoboa