R_Breazy
Member
- Aug 28, 2025
- 47
- 72
Habari za wakati huu
Katika harakati za kujitafutia ugali after chuo, nimetapanya CV yangu karibu kila office niliyoona kuna fursa iwe private/Gvt.
Nyingine zilitiki na nyingine ndo kama hivyo tena.
Mpaka SAIVI nipo kwenye issue fulani nafanya ila malipo si mazuri sana ila sababu sina kitu cha kufanya ilibidi nipige kazi-Wayback niliomba nafasi halmashauri fulani(Tax collector) Sina uhakika 100% kuwa nimepata ila naona kuna dalili nzuri, Mungu abariki katika hili, make life naloishi ni Fight for the survivor (movie fulani la kutisha) kwa nje mtu akiniona hawezi jua niliyoyabeba.
Anyway, mambo ni mengi ila naomba kufahamu kuhusu malipo ya tax collector yakoje kwa mtu anayeanza(beginner) kwenye halmashauri? Aliyewahi kufanya hizi kazi/ uelewa naomba unisaidie kufahamu jinsi utendaji kazi unavyoenda(General operations kwa kuangalia faida na hasara kwa mfanyakazi) kwa nafasi niliyoomba.
Wayback nilijua ni kazi za kuongea tu unaenda kupiga kazi kumbe kuna kusainishana hadi mikataba!
Wakuu naombeni msaada katika hilo kabla sijaacha nilipo bila kujua nakoenda kukoje.