Ukifika Arusha maeneo ya Friend corner njia ya kwenda Unga LTD utaona hayo mascrepa ya magari ya Tango Transport Ltd, kweli TRA ni wauwaji, yaani malori yamekaa hadi yameozea pale! Inasikitisha kuona TRA huwa hata hawajisumbui kutafuta njia mbadala na walipa kodi inapotokea kutoelewana, badala yake wanatumia njia chafu za kuwakomoa walipa kodi na madhira yake ndo haya sasa, sasa wanatapatapa!