Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,029
- 59,684
Watu walishaanza kutopeleka pesa zao benki.Hawa TRA wanapoelekea sasa ni too much, watu wataogopa kufanya kila kitu nchi hii mbona uchumi utakufa kabisa, na pesa zao wataondoa benki.
Serikali wanavyofanya ni unyan'ganyi, mnawatisha sana hawa watu.
Jamani mimi nadhani kila mtu ana wajibu wa kulipa kodi.
Ndiyo Ukweli WenyeweUganda wanajaribu kujiokoa na serekali ya kifascist wakati Mtanzania yeye yuko busy kulia lia badala ya kuchukua hatua!
View attachment 1651317
Nasikia wakikukuta na nyanya ndoo tatu unasafirisha wana kuambia unasafirisha mazao ya kilimo bila stakabadhi sio nyanya ndoo 3 ni mazao ya kilimo unahujumu uchumi 😂Hao ndio waliodanganywa kwa peremende kuwa ukiwa na tani mbili za nafaka unazosafirisha hakuna mtu atakaye kuhoji ushuru.
Hata miezi miwili badoHata mwaka haujaisha majuto kila sehemu.
Hapo anajiandalia mizigo ya kustaafu nayo.
Ni kweli shoe shiner hatakiwi kulipa kodi na ana haki za kupata huduma za kijamii kufuatana na sera za "SACCOS"Bado shoe shiners, wasubiri kugongewa milango na TRA
Wakati nchi nyingine au kufuatana na sera za vyama mbadala, hayo hayapo na huduma utapataHii haiwezi kuwa sawa, unamtoza mkulima kodi kisa anamiliki mashamba? kwa nini wasimsubiri kipindi atakapovuna na kuyauza hayo mazao. Hii maana yake ni kwamba unamtoza mkulima kodi baadaye utamtoza mfanyabiashara atakayenunua na kusafirisha hayo mazao, yaani kodi juu ya kodi jaambo ambalo litapelekea bei kupanda kwenye masoko. Ni kama mnavyofanya kwa wafanyakazi, mnawatoza kodi kwenye mishahara yao (PAYE) halafu wakienda kununua vitu na huduma wanalipa pamoja na VAT.
Mwenzako kataja makundi mawili.Mkuu hivi unawafahamu wakulima kweli?Wakulima huuza mazao yao wakati mwingine yakiwa bado shambani.Hao wanaotunza stock ya mazao ni wafanya biashara au wachuuzi wa mazao.Mfano kule Kahama kuna wafanyabiashara wakubwa wanama godown ya kuhifadhi mpunga hata miaka mitatu wakisubiri bei ipande.
Wakulima wengi hawawezi kuwa na uwezo huo wa kuvumilia bei ipande
Ewaaaaa! Serikali ione namna ya kuwatoza kodi warembo wanauza utamu mitandaoniNa kodi ya baiskeli wasisahau pia.
Safi saaaaana lazima tulipe kodi zote siyo tu wafanyakazi
Mbona ulishindwa alipowaletea magwanda?Huku Kwenye korosho tutampiga kipaipai asituletee mchezo kabisaaa!!!
Tena asithubutu kutugusa
Huku ni sawa na kukamua ng'ombe maziwa bila huduma yakinifu. ( Utatoa damu mwisho wa siku)Kama ni shamba la uwekezaji na kuna wafanyakazi walioajiriwa,huyo mwekezaji anastahili kulipa kodi kwani litakuwa linaingiza mapato.
Halafu issue ya kodi hata mkulima anatakiwa kulipa kodi ili mradi tu awe anaingiza mapato.
Hapo nipo pamoja na TRA.
Wajitahidi kutoa elimu ya kutosha ya kodi na kubuni vyanzo rafiki vya kodi ili tuinue uchumi wetu.