TRA, wafanyabiashara wana temper na EFD machines

Umuhimu wapi kodi zetu wanafaidi wapuuzi wachache huku sisi tukikondeana... Akina bashite na genge Lake na akina lemetuz ndio watajichukulia tuu kodi zetu mi acha nikwepe tu
 
Hahahahha jamaa umenichekesha sanaaa unamaanisha jpm huko chattle anakupendezesha haswaa
 
Umuhimu wapi kodi zetu wanafaidi wapuuzi wachache huku sisi tukikondeana... Akina bashite na genge Lake na akina lemetuz ndio watajichukulia tuu kodi zetu mi acha nikwepe tu
Mkuu acha wazitumbue tu hizo kodi zetu, Ila hawawezi kumaliza zote bila kufanya chochote kwa jamii.
 
Nyumbu ni wewe unayelipa kodi ili bashite akazitumbue na mahawara zake
Hizi akili hizi naweza kuziita za kijinga na ukilaza uliopitiliza.

Siku ukojua wewe ni kilaza nadhan utanielewa nyumbu wewe mwenye akili za kishikiwa.
 
Nyumbu ni wewe unayelipa kodi ili bashite akazitumbue na mahawara zake
Hizi akili hizi naweza kuziita za kijinga na ukilaza uliopitiliza.

Siku ukijua wewe ni kilaza nadhan utanielewa nyumbu wewe mwenye akili za kushikiwa.
 
Hizi akili hizi naweza kuziita za kijinga na ukilaza uliopitiliza.

Siku ukijua wewe ni kilaza nadhan utanielewa nyumbu wewe mwenye akili za kishikiwa.
Kwa hiyo baada ya kugundua kuwa kodi zako zinatumbuliwa na bashite bado unajiona we mzima kichwani??
 
Hakuna kitu nakipinga kama hii wanayoita kulipa kodi!
Tunalipa kodi halafu bilioni 41 zinaenda kujenga airport chato..like seriously??
Si bora wangejenga hata mawodi huko mahospitalini yani kodi yangu ikamfaidishe sizonje? Over my dead body
 
LAKI MBILI TU UNALIA, HAPO TRA ANAENDA KUVUTA HELA YAKE KWA HUYO MFANYA BIASHARA KIULAINI , HUKU WEWE UKIJAZA SERVER
 
Lau kama wananchi wanaona maendeleo na kufaidi kodi zao, basi wasingekuwa wadanganyifu. Lakini mtu unalipa kodi kisha huoni maendeleo..... duh....
 
Mbona uweki wazi bei ya vitu ulivyopunguziwa bei, unalalamika kwa hiyo kias cha kwenye risiti. Kuwa muwazi.
Tuletee INVOICE na DERIVERY NOTE ya hivyo vitu ulivyonunua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…