TRA, wafanyabiashara wana temper na EFD machines

Punguani mkubwa!!. Kwan hata akidai risiti wewe utafaidika na nn?. Maana ufisadi umetamalaki wanakula tu walioko huko serikarin si bora atafune mchumia juani mwenzangu!
 
Punguani mkubwa!!. Kwan hata akidai risiti wewe utafaidika na nn?. Maana ufisadi umetamalaki wanakula tu walioko huko serikarin si bora atafune mchumia juani mwenzangu!
Umelogwa wewe mwendawazimu na alokuroga amekufa. Endeleeni na akili zenu za nyumbu.

Siwezi endelea kuongea na kilaza.
 
Huko sahihi.

Nimeshangazwa na dhihaka waliyoionesha hapa. Hawa ndo wanataka umeme ufike vijijini, hospitali ziwe na dawa, shule ziboreshwe, huduma za maji ziboreshwe, barabara zikarabatiwe, mishahara ya wafanyakazi iongezwe, reli ya SGR ijengwe, umeme uwe wa uhakika lakini wakati huo huo hawataki kuona kodi stahiki ikikusanywa. Eti mfanyabiasha ana watoto wa kusomesha na kodi ya nyumba ya kulipia. Mbona hammtetei mwalimu, nesi na wafanyakazi wa kada zingine ambao makato yao hufanywa hata kabla hawajagusa hela yao? Mbona basi mfanyabiasha huyo huyo akwambii mgawane kiasi anachotaka kukwepa?
Wanapata wapi moral authority ya kudai serikali itimize wajibu wake wa huduma kwa jamii iwapo hawataki wengine walipe kodi stahiki?
Uzalendo wa kwanza ni kulipa kodi.
 
Kuna mtu alikulazimisha kwenda dukani kwake kununua hizo bidhaa? Huwezi siungekataa na kuondoka na pesa zako ukazigeuze zingine vitasa zingine misumari na tailizi? Acha unoko kisa kinyumba cha msonge, ukijenga Orofa sidunia itajua? Laki 2 na elfu kumi sinipesa ya kitasa kimoja na nauli yako?
 
Suala sio kulazimishwa, kodi take ndio mapato ya serikali tunayoilalamikia kubwa huduma za kijamii hazipo kumbe tunashiriki ujinga wa kukwepa kulipa kodi! Hiyo anayekwepa kulipa kodi anihujumu nchi! TRA njooni Humu watu watoe ushirikiano.
 

Halafu ukilipa zianenda kulipia madeni ya kujitakia kwa uvunjifu wa sherawa makusudi
 
Kulipa kodi ni suala la kizalendo. Maana nchi inahitaji fedha kuwahumia wananchi, hata hivyo ni vema pia serikali ikaangalia namna bora ya kuwafanya watanzania wawe na mapenzi ya kulipa kodi. Mfano tumempeleka mgonjwa MUHIMBILI amevunjika mguu, unalazimishwa ulipe miliini 1 ili aungwe vinginevyo mguu unakatwa, tunamuhamisha mgonjwa wetu mpaka kibaha kwa Dr Baki, tunaambiwa tulipe laki 6. Tunalipa mgonjwa anapata huduma nzuri. Hivi utamshawishi vipi mtu wa aina kulipa kodi?
 
Big up tunahitaji wazalendo kama ww i wish wabongo wangekuwa kama ww kuliko kutukana matisu ambayo hayahitajiki....
 
Huyu jamaa mpuuzi tu,, eti kanajidai uzalendo! Uzalendo kamfanyie mkeo huko! Sasa kama kuna bidhaa umenunua nyingine haina VAT unataka mwenye duka akuandikie tu? Ingawa sijui umenunua bidhaa gani, lakini wacha umazwazwa,, wewe chukua risiti yako tembea!!
 
Sijajua kama wewe ni bwege au ni Dr. Shika...

Hivi unadhani kila kitu kwenye vifaa vya ujenzi vinalipiwa VAT?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…