TRA tena, watu elfu 10 wagombania nafasi 8 za kazi

hakuna kitu kama hicho mkuu. Hapo watakaofauru mtihani ndio wanaoajiriwa. Kama ukizingua paper hata kama unatokea Zanzibar huajiriwi. Kipimo ni akili yako.

Sio kwa ajira za sekretarieti, zile mnafanya mtihani tena mnatumia namba sio majina watajuaje hii paper ya mzanzibari na hii ya mtanzania mkuu. Elewa point yangu.
 
TCU iache kutoa ithibati kwa vyuo vikuu vipya.....

Tulio navyo VINATOSHA.....

Hashtag TCU iache kutoa ithibati kwa vyuo vikuu mpaka baada ya miaka 10......

#TCUIacheKutoaIthibatiKwaVyuoVikuuVipya

#NchiKwanza
#JMTMilele
#KaziIendelee
 
Sio kwa ajira za sekretarieti, zile mnafanya mtihani tena mnatumia namba sio majina watajuaje hii paper ya mzanzibari na hii ya mtanzania mkuu. Elewa point yangu.

Taasisi zina akili nyingi.. kila kitu kimeshapangwa. Mfano ajira lazima izingatie uzanzibar na ubara + gender.. mfano katika waomba ajira lazima watakuwepo wa zanzibar. Ndio maana tunaweka vyeti vya kuzaliwa ama namba za nida.

Wanachofanya wanachagua wafaulu vizuri katika group la wazanzibar na wabara pia wanazingatia gender. Wazanzibar ufaulu wao wanashindanishwa wenyewe wazanzibar walioomba kisiri siri ili wapatikane wa kukamilisha 21% ya kisheria

Usijidanganye ajira zinatazama 8 bora ya wote bila kuzingatia groups. Mfano 8 wa kwanza wote wakiwa wanaume. Unafikiri wataajiriwa wanaume tupu wote 8 sababu ndio wamefaulu sana?

Lazima balance iwepo. Wa zanzibar wana nafasi zao kisheria katika wizara za muungano na taasisi zake. Ni sawa na urais na umakamu wa rais Tanzania. Lazima m zanzibar mmoja awepo katika hivyo vyeo vikubwa viwili vya juu nchini, hata kuwe na wabara bora kibao kuliko wazanzibar
 
Mimi nilishawai kuomba hizo ajira nafasi zilikua 4 waliozipata ni watanzania Bara pekee waliofauru, tulikwenda na wazanzibar wawili.
 
Zenji wana asilimia 20 katika wizara za muungano na taasisi zote zilizo ndani ya hizo wizara. Kwa hesabu ya haraka haraka hapo znz wana nafasi 2 hapo na 6 za bara.

Ila hizo 2 kwao ni nyingi sana maana znz ina watu wachache sana. Na wasomi ndio wachache zaidi kuliko idadi ya nafasi za ajira

Znz population 1m. Nafasi 2 zao

Tz bara population 59m nafasi 6 zao
Nafasi hazigawanywi wanafanya mtihani watakao fauru ndio wanaopewa hakuna ajira za huruma hapo.
 
Duh siyo powa, hapo unakuta nafasi kadhaa zina watu tayari.
Vijana wanavujishiwa pepa afu wanawachora wenzao.
 
,
JamiiForums-240938180.jpg
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom