hakuna kitu kama hicho mkuu. Hapo watakaofauru mtihani ndio wanaoajiriwa. Kama ukizingua paper hata kama unatokea Zanzibar huajiriwi. Kipimo ni akili yako.
Unafahamu 21% ya waajiriwa wanatakiwa kuwa Wazanzibar?
HaBari Wakurugenzi! Kuna mambo ya Muungano wengi wetu tulikuwa hatujafundishwa shuleni lakini kitaa sasa ndio tunajifundisha. Mfano hili la ajira zinazotolewa na JMT Wazanzibar wanatakiwa kupata mgawo wa asilimia 21 na Serikali ya Zanzibar inaandaa kanzu data na kuhakikisha wale wanaohitimu...
www.jamiiforums.com