Tra oral interview feedback

Kesho saa nne kwa waliopigiwa simu leo wanaenda kuchukua barua tra hq
 
taarifa kamili ni hizi hapa
wameita jumla ya watu 72 tuu,na hao watu 72 wanatakiwa wafike kesho makao makuu ya tra saanne asubuhi kuchukua barua zao,na hao 72 wote wamepigiwa wamepokea simu na wamepewa taarifa.......asanteni,tukutane kesho saanne asubuhi
 
Aise., basi tuwapongeze wale waliopata., nasisi tuliokosa wakati huu tuendelee kuitafuta nafasi ambayo ipo kwaajili yetu mahali pengine kwa vyovyote! hongereni sana.,
 
taarifa kamili ni hizi hapa
wameita jumla ya watu 72 tuu,na hao watu 72 wanatakiwa wafike kesho
makao makuu ya tra saanne asubuhi kuchukua barua zao,na hao 72 wote
wamepigiwa wamepokea simu na wamepewa taarifa.......asanteni,tukutane
kesho saanne asubuhi

kwa maana hiyo zoezi la kupiga limeisha? na je walikuwa wanahitaji watu 72 tuu au wengine wamekosa sifa stahiki? naomba mwenye taarifa ya ndani atupashe jaman wengina tuko ICU
 
As soon as possible ni yy atakapoona inafaa not necessarily when u thnk it will b appropriate kwa hiyo km ni baada ya mwaka mmoja then baada ya mwaka ndo itakuwa as soon as possible kwa kuwa maamuzi ni juu yake
 
taarifa kamili ni hizi hapa
wameita jumla ya watu 72 tuu,na hao watu 72 wanatakiwa wafike kesho makao makuu ya tra saanne asubuhi kuchukua barua zao,na hao 72 wote wamepigiwa wamepokea simu na wamepewa taarifa.......asanteni,tukutane kesho saanne asubuhi

Ndugu,usipotoshe watu ,watu wana stress ujue,na wakisoma post ako wanahs washatemwa whch ain't right.kuna mshkaj wangu yupo down just afta readn ths@mayasia
 
Back
Top Bottom