Tra oral interview feedback

Tra oral interview feedback

Wooi,zile sim mara hazipatikani mara hazipokelewi nini,yani famfa moja kwa moja.
Majamaaa, meskia skia kwa mbali sana kua hawa majamaa wameanza kuita. So kila mwenye mdau aliye kua awasiliane kama hilo limetokea kisha tupate habari kama kuna habari kama hyo huko kwa roots!
 
DAAH, mi mwenyewe pia nimeskia mtu wamempigia simu wakamuuliza vipi mbona hajaweka box, then akawatajia box lake. so mwenye taarifa ya uhakika zaidi please atueleze wana jamii forum.
 
Kama wamemuuliza Sanduku la Posta, basi wataita kwa Barua kupitia posta! Nawashauri muanze kuyatembelea masanduku yenu ya POSTA.
 
DAAH, mi mwenyewe pia nimeskia mtu wamempigia simu wakamuuliza vipi mbona hajaweka box, then akawatajia box lake. so mwenye taarifa ya uhakika zaidi please atueleze wana jamii forum.
Ina maana hawajamwambia chochote zaidi ya box lake tu!
 
Tayari nshacheki funguo za posta halafu cjaziona,cjui wakiita kwa posta itakuwaje!! Hehehe 🙂
 
[Tayari nshacheki funguo za posta halafu cjaziona,cjui wakiita kwa posta itakuwaje!! Hehehe 🙂 ][/QUOTE]

HA HA., SAWA WE KWELI FIKIRA MLAZO.,
 
Tayari nshacheki funguo za posta halafu cjaziona,cjui wakiita kwa posta itakuwaje!! Hehehe 🙂

Yaaani we fikra mlazo ama kweli fikra zako mlazo yani, watu tupo serious we unatuleleta utani bana hahahaaaa....sasa ukachongeshe funguo mpya kabisa kabla hawajampa mwingine hizo nafasi
 
duh ase nimeskia watu wanaitwa leo kweli., vipi training lini?
 
Knw wat wapendwa,najua mmetawaliwa na stress so kuliwazana muhmu.
 
Back
Top Bottom