Tra oral interview feedback

novert

New Member
Jan 29, 2013
4
0
Naombeni kujuzwa kama kuna yeyote aliyafanya oral interview ya tra tar 6-8/02/2013 pale msimbazi centre as ass tax ofisa kama wameshapigiwa simu waliofanikiwa............ni hayo tu
 
Naombeni kujuzwa kama kuna
yeyote aliyafanya oral interview ya tra tar 6-8/02/2013 pale msimbazi
centre as ass tax ofisa kama wameshapigiwa simu
waliofanikiwa............ni hayo tu

kwa tetesi ni baada ya wiki 3 hadi 4 kwanzia cku ya oral inter so tuvute subira mkuu
 
Kuna watu wako jikoni wanajua vizuri haya mambo, wanaweza kuwasaidia. Kuna jamaaa humu anaitwa whitedent alikuwa amesema kuwa wataanza kuwaita kuanzia mwezi huu tar 27, kwa hyo anaweza kuja hapa na kuwahakikishia hilo.
 
Subira yavuta heri,na ngoja yaumiza matumbo..mwingne leo kanambia mwishoni mwa mwezi wa 4
 
Kama yuko jikoni (ndani ya tra HQ) nachelea kusema ya kuwa huna budi kumwamini. Lakn na yeye kama ni kama wewe inahtaji moyo kumwamini. Lkn ngoja niulize, hv mtu akikwambia atakupa majbu as soon as posible anakuwa anamanisha nini?

Manake ni fast,we ol don knw.ka ni tar 27 kesho mtembee na cm hadi toilet
 
Subira yavuta
heri,na ngoja yaumiza matumbo..mwingne leo kanambia mwishoni mwa mwezi
wa 4

kama kazi zilitangazwa whishon mwa october mwaka jana na interview
ikafanyika february 2013, kuna possibility kuitwa kazin ikawa mid of
April 2013.
my brain..
 
kama kazi zilitangazwa whishon mwa october mwaka jana na interview
ikafanyika february 2013, kuna possibility kuitwa kazin ikawa mid of
April 2013.
my brain..
from probability point of vie wanaita 82 days ater deadline so mpaka leo ni tayari 22 days with calculations ni kwamba wataita tarehe 1 may au 30th of april.
 
Wewe unayoyaongea unayajua? Si mkawe na subira kuliko kuja huku mnaandika vitu bila data? Nimeambiwa kuwa deadline ilikuwa nov 13, 2012, je unaona kuanzia hapo mpaka leo ni siku ya 22 kwa hesabu zako? Kweli hesabu ina wenyewe.

bora umesema wewe mkubwa, sie wadogo tungesema tungeishia kupata kwenzi!
 
from probability point of vie wanaita 82 days ater deadline so mpaka leo ni tayari 22 days with calculations ni kwamba wataita tarehe 1 may au 30th of april.

have you read what you wrote? Do you know when was deadline?
Because you dont know when was deadline let me help you!
Deadline was 13/11/2012.
Count from that deadline hence tell us when was 82th day.
 
Jamani mbona mna hali mbaya hv? Soma vizuri uelewe. Kingereza kigumu sawa lakn na kiswahili ni kigumu kiasi hk? Umeambiwa kuanzia tarehe 27 kwa hyo siyo lazima iwe tarahe hyo exactly bali kuanzia hapo kwenda mbele.
Yule aliesema wanaita trh 27feb vp?leo ni 1 march.
 
Yule aliesema wanaita trh 27feb vp?leo ni 1 march.

Kwa wale wenye ujasiri, Ukitaka taarifa ya uhakika zaidi nenda kwenye website ya TRA kuna sehemu imeandikwa "Call Centre" tumia number hizo kuuliza ili upate habari za uhakika. Vinginevyo hapa ni kutiana presha na matumaini yasiyo na uhakika! Lakini kwa mwenye habari za uhakika anaweza kutuwekea pia!
 
Wooi,zile sim mara hazipatikani mara hazipokelewi nini,yani famfa moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom