Fikra mlazo
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 237
- 37
Sasa wewe ndo jasiri uliyepo dhahiri kbs, pga bas then leta fdbak tajirijasiri
Last edited by a moderator:
Jiandaeni kupokea majibu yenu kuanzia kesho kwa maana training mnaanza march 11. Kama ulikuwa huna kimemo ndo ushaumia labda uwe unamwamini Mungu wa wasiokuwa na vimemo.
Hapo kwenye red ni pabaya sana. Paliwahi kukosesha watu U Waziri Mkuu, Paliwahi Kuondoa watu Benki Kuu, Paliwahi kufanya watu wajiondoe Ubunge, Paliwahi kuleta kampuni feki za Umeme, paliwahi kuibua kampuni feki zikalipwa mabilioni ya EPA! Usipapende sana hapo kwenye red!!!!!! kuna watu bado wanapajutia! Mwanzo wake huwa mzuri lakini mwisho wake sio Mzuri. Bora "Yah MUNGU tu,atosha" kama alivyowakilisha F-9
....kama ipo ipo 2
Jiandaeni kupokea majibu
yenu kuanzia kesho kwa maana training mnaanza march 11. Kama ulikuwa
huna kimemo ndo ushaumia labda uwe unamwamini Mungu wa wasiokuwa na
vimemo.
wazeeee bado?????????????
wazeeee bado?????????????
duh kweli kuelewa kazi, mliitwa i/view 82 days tangu deadline...that day naandika nlibase on the premise of 82 days so nkasema its 22 days after i/view meaning wanafanya after evry 82 days of last step...Wewe unayoyaongea unayajua? Si mkawe na subira kuliko kuja huku mnaandika vitu bila data? Nimeambiwa kuwa deadline ilikuwa nov 13, 2012, je unaona kuanzia hapo mpaka leo ni siku ya 22 kwa hesabu zako? Kweli hesabu ina wenyewe.
somehow najua as to why form four wamefeli....count here atleast based on my premise kwamba From one step to another TRA wanatumia 82 days mfano trh ulotaja 13/11 to 4/2 how many days? 82 bila shakahave you read what you wrote? Do you know when was deadline?
Because you dont know when was deadline let me help you!
Deadline was 13/11/2012.
Count from that deadline hence tell us when was 82th day.
somehow najua as to why
form four wamefeli....count here atleast based on my premise kwamba From
one step to another TRA wanatumia 82 days mfano trh ulotaja 13/11 to
4/2 how many days? 82 bila shaka
oky now calculate from the last day of the oral interview to the day
naandika my comment usiyoielewa..22 days..so what is your
problem?
Umejaribu kuzipiga mkuu ama waamua kupotosha mimi mbona zinapatikana na wanatusaidia sana..Wooi,zile sim mara hazipatikani mara hazipokelewi nini,yani famfa moja kwa moja.