TRA: Nimesahau namba yangu ya usaili

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,526
3,802
Habari zenu wakuu,

Nilifanya usaili wa TRA position ya Customs Officer lakini kwa bahati mbaya diary niliyokuwa nimeandika nilipoteza na sikumbuki ilikuwa namba ngapi, nimejaribu kuwapigia utumishi ili wanipe msaada lakini siku nzima simu yao haipokelewi kabisa.

Je, kuna njia ipi inaweza kunisaidia kupata zile namba ili niweza kujua namba yangu nami niangalie matokeo yangu wakuu?

Asanteni sana
 
Mbona Zama za Ujanja ujanja zishapitaga! Okay nenda utumishi kaangalie majina Upya
 
Habari zenu wakuu,

Nilifanya usaili wa TRA position ya Customs Officer lakini kwa bahati mbaya diary niliyokuwa nimeandika nilipoteza na sikumbuki ilikuwa namba ngapi, nimejaribu kuwapigia utumishi ili wanipe msaada lakini siku nzima simu yao haipokelewi kabisa.

Je, kuna njia ipi inaweza kunisaidia kupata zile namba ili niweza kujua namba yangu nami niangalie matokeo yangu wakuu?

Asanteni sana
Kama namba tu umesahau makinikia huwez kuwa ulikumbuka wewe...usiangaike mkuu wewe utakua umeliwa kichwa
 
Mwenye pdf ya majina naomba atume humu
Mkuu haya majina kumbe namba zake haziko sawa na za kwenye vile vikaratasi mlivyopewa, nimemchekia mmoja kidogo nimuingize chaka,
 
Attachments

  • Job TRA.pdf
    6.2 MB · Views: 1,116
kuna uwezekano hujafaulu kama umeshindwa kumbuka jiandae kwa usaili mwingine.
 
Back
Top Bottom