TRA ni zaidi ya NHC

TRA ni zaidi ya NHC

Si kwamba huruhusiwi kujenga, unapojenga nyumba 10 ni za nn na hizo fedha unatoa wapi? Unachotakiwa kufanya ni kuthibitisha source yako ya income. Tuache ubadhirifu, nyumba 5,10 ,20..za nn zote hzo??

Tena unakuta kajenga hizo nyumba zote pasipo kukopa hata senti tano.
 
Watz hapana yan tunataka mfanyakaz wa shirika kama TRA nae asubir hela Ya kustaafia ndo ajenge ? hata tungekuwa wajamaa hii isinge wezekana....Tupunguze wizu tupige kazi mngeyajua yanayotokea kwa watu wa halmashaur nahisi mngezimia kabisaa

Kujenga siyo tatizo,tatizo unakuta mtu ana miaka 2 kazini alafu ana nyumba 5 za kifahari sasa swali ni je hizo pesa kazitoa wapi?alafu unakuta hana mkopo hata senti moja
 
Wakati mwingine umasikini huleta husda, wivu na uonevu.

Mfanyakazi wa TRA kujenga sio dhambi hata nyumba ziwe 1,000. Lililo muhimu ni kuona je kipato chake na cha familia kinaendana na Mali alizonazo.

Tanzania Kuna fursa nyingi hasa kwa watu wenye kufikiri na wenye "kianzio". Mishahara yao inawapa fursa ya kukopa mikopo "minono" kwenye taasisi za kifedha.

Wewe ni ngombe tu kachambe ulale majinzi nyie
 
Kiongozi, 25x100m haiwezi kufika 2.5 trillion. Shughulisha tena akiliyako.
Wamerikani na Waingereza wana tofauti kwenye figures zinazo represent billion na trillion kwa hiyo husimlahumu sana mleta figures maanake hatujui anazungumzia figures za Merikani au Uingereza.
 
Raisi tunaomba ulipitie na shirika la Bima la Taifa (NIC). Hili nishirika nyeti sana na lenye potentials nyingi sana lakini limekuwa likiendeshwa kihuni sana.

Walio liuwa shirika ndo hao hao waliopewa kazi na jk kulifufua, hii ni maajabu ya karne .
 
Nchi hii utadhani imepata UHURU tarehe 25 Oktoba, 2015. Maana mambo yaliyokuwa yanafanyika huwezi amini kama nchi hii ilikuwa na serikali. Acha Magufuli afute sherehe za Uhuru maana ndiyo kwanza nchi yetu haijafikisha hata mwaka mmoja toka tupate Ukombozi sasa sherehe za nini......
 
Watz hapana yan tunataka mfanyakaz wa shirika kama TRA nae asubir hela Ya kustaafia ndo ajenge ? hata tungekuwa wajamaa hii isinge wezekana....Tupunguze wizu tupige kazi mngeyajua yanayotokea kwa watu wa halmashaur nahisi mngezimia kabisaa
Wewe ndiyo Mtafya au Masamaki?
 
Nchi hii utadhani imepata UHURU tarehe 25 Oktoba, 2015. Maana mambo yaliyokuwa yanafanyika huwezi amini kama nchi hii ilikuwa na serikali. Acha Magufuli afute sherehe za Uhuru maana ndiyo kwanza nchi yetu haijafikisha hata mwaka mmoja toka tupate Ukombozi sasa sherehe za nini......

Kabisa. Tangia aondoke Nyerere ndo Tanzania imepata Raisi mwingine tarehe 25 Oct 2015. Du!
 
Back
Top Bottom