TRA ni zaidi ya NHC

TRA ni zaidi ya NHC

Papa1

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
2,023
Reaction score
2,218
Kama mfanyakazi mmoja wa TRA anamiliki majumba 75, japo wengine wanamiliki kati ya majumba 5, 10, 20 n.k, uka hesabu idadi ya wafanyakazi TRA tanzania nzima, hakika hawa wanamiliki raslimali za majumba kuliko NHC. JPM, hakikisha majumba hayo yanarejea na kutumiwa na wafanyakazi wa serikali - ikiwemo waalimu, madaktari, majaji n.k
 
Wafanyakazi wa TRA mmeajiriwa kwa ajili ya kukusanyaa mapato ya serikali sasa nyie mmekuwa wakusanyaji wa mapato yenu..na mlaaniwe.
 
Kwani sisi wafanyakazi wa TRA haturuhusiwi kujenga?

Si kwamba huruhusiwi kujenga, unapojenga nyumba 10 ni za nn na hizo fedha unatoa wapi? Unachotakiwa kufanya ni kuthibitisha source yako ya income. Tuache ubadhirifu, nyumba 5,10 ,20..za nn zote hzo??
 
Kama mfanyakazi mmoja wa TRA anamiliki majumba 75, japo wengine wanamiliki kati ya majumba 5, 10, 20 n.k, uka hesabu idadi ya wafanyakazi TRA tanzania nzima, hakika hawa wanamiliki raslimali za majumba kuliko NHC. JPM, hakikisha majumba hayo yanarejea na kutumiwa na wafanyakazi wa serikali - ikiwemo waalimu, madaktari, majaji n.k

Nyumba 25@100m= 2.5trillion.haitakuwa na justification.
 
Kwani sisi wafanyakazi wa TRA haturuhusiwi kujenga?
Subiri sheria ya '' MONEY LAUNDERING " ikitembelee ndipo utakapo uliza hilo swali lako. Najua watu wengi hawajui makali ya hii sheria ndio maana wanaiba mali wanaandika majina ya watoto wao, ndugu zao n.k " wanajidanganya' Mwaka huu mtajua Tanzania kuna sheria na zinafanya kazi.
 
Wakati mwingine umasikini huleta husda, wivu na uonevu.

Mfanyakazi wa TRA kujenga sio dhambi hata nyumba ziwe 1,000. Lililo muhimu ni kuona je kipato chake na cha familia kinaendana na Mali alizonazo.

Tanzania Kuna fursa nyingi hasa kwa watu wenye kufikiri na wenye "kianzio". Mishahara yao inawapa fursa ya kukopa mikopo "minono" kwenye taasisi za kifedha.
 
1. Elimu 2. Elimu 3. Elimu
Unang'ang'ania elimu wakati aliyegundua elimu hakuwa na elimu we vp, usikariri kwani hao vigogo wa TRA ni mbumbumbu lakini ona walichokifanya,labda mwenzako mkono umeteleza na ungemueleza hesabu sahihi ilitakiwa iwe ngapi.
 
wakati mwingine umasikini huleta husda, wivu na uonevu.

Mfanyakazi wa tra kujenga sio dhambi hata nyumba ziwe 1,000. Lililo muhimu ni kuona je kipato chake na cha familia kinaendana na mali alizonazo.

Tanzania kuna fursa nyingi hasa kwa watu wenye kufikiri na wenye "kianzio". Mishahara yao inawapa fursa ya kukopa mikopo "minono" kwenye taasisi za kifedha.

unaongea kitu gani mkuu?..
 
Kiongozi, 25x100m haiwezi kufika 2.5 trillion. Shughulisha tena akiliyako.

Asante Eli: 25x100,000,000= 2,500,000,000.
1,000,000,000= 1billion . I stand to be corrected! So ni 2.5billion. Sasa mtumishi wa umma huwezi kutoa jystification ya biashara iliokupa 2.5b.
 
Asante Eli: 25x100,000,000= 2,500,000,000.
1,000,000,000= 1billion . I stand to be corrected! So ni 2.5billion. Sasa mtumishi wa umma huwezi kutoa jystification ya biashara iliokupa 2.5b.
10 ~Kumi
100~Mia Moja
1,000~Elfu Moja
10,000~Elfu Kumi
100,000~Mia moja elfu (laki moja)
1,000,000~Milioni moja.
10,000,000~Milioni Kumi.
100,000,000~Milioni Mia moja
1,000,000,000~Milioni elfu moja(bilioni moja)
--Haya endelea..
 
Watz hapana yan tunataka mfanyakaz wa shirika kama TRA nae asubir hela Ya kustaafia ndo ajenge ? hata tungekuwa wajamaa hii isinge wezekana....Tupunguze wizu tupige kazi mngeyajua yanayotokea kwa watu wa halmashaur nahisi mngezimia kabisaa
 
elimu elimu elimu, kamaanisha hujui hesabu, 25 x 100m = 2.5 trillion?????, hata mimi nasisitiza elimu elimu elimu
 
Back
Top Bottom