Ni vizuri kodi ya kila bidhaa iwe wazi wazi kweupe gharama ziainishwe kwa uwazi pasipo kificho chochote, kufanya kodi kuwa siri ndiko kumeifanya TRA kuchukiwa na wafanyabiashara wengi, wafanyakazi wengi hutumia fursa hiyo kuomba na kupokea Rushwa toka kwa bidii kubwa, kwa kifupi huko TRA kunahita kufumuliwe kusukwe upyaMfumo mzima Wa kodi tz ni mbovu jiulize tu kwanini bidhaa Uganda ni cheap Mara tatu ya Uganda wakati mganda anatolea mzigo hapa dar?
Kwanini wanatoza kodi kwa siri? Yaani ukitaka kuagiza mfano vitege hujui kodi unakuja kupigwa ngapi?na unaweza kupitisha bidhaa aina moja kila MTU akapigwa kodi yake
Mbona malengo ya kiasi gani kikusanywe anapanga mwenyewe magu?meneja Wa Tra usipofikia kiwango kilichowekwa unatumbuliwa
"kukadiria kodi" hili neno sipendi kulisikia. niliamua kuacha kubadili umiliki Wa pikipiki kwa sababu ya msamiati huo na hivyo tra kukosa mapato.
wekeni formula hadharani, nikija kwenu nije na sh mgapi, sio mkadirie.
Hawajamhujumu mkuu, kwani wakati wa Kikwete na Mkapa TRA si hawa hawa? Kwa nini sasa? Matatizo ya taasisi nyingi huwa ni kwenye 'bottleneck'. Kama mkubwa brain yake inaamini uchumi wa nchi ni kodi, unategemea hawa wapiga zumari wafanye nini?Wameamua kumhujumu Rais Magufuli na Serikali ya Viwanda. TRA ndio wachawi
Kufanya biashara nchi hii inaonekana kama una laana hasa awamu hii ya tano.kuna chuki kubwa dhidi ya wafanyabiashara,huwa najiuliza kwa nchi kufanya biashara ni dhambi!
Acha tu picha ziongeea makusudi Kabisa, TRA mmehujumu (Sabotage) Jitihada za Rais Magufuli kuelekea Uchumi wa Viwanda.
Kwa kipindi kirefu, TRA wamekuwa ni wababe, wamelalamikiwa sana. Hawamskilizi mtu, wamekuwa wakifanya mambo kwa kukurupuka na kukomoa. Unafungua biashara wanakuja na kukupa makadiro ya kutisha kabla ya kuanza biashara. Wafanya biashara wakaanza kwenda nchi jirani
Unaleta bidhaa bandarini, wanakupa ushuru mkubwa kuliko thamani ya bidhaa, unapobisha, unaombwa rushwa kubwa ili amigo wako utoke. Mwisho wa siku wafanya biashara wakaanza kusita kuagiza.Na ndio maana mizigo nayo ikapungua. Hapa mchawi ni nani?
Wafanya biashaa wadogowadogo wanalaimishwa kununua EFD machine wakati mitanni yao ni midogo kuliko thamani ya EFD. Kwa nini wasifunge biashara? Hapa Mchawi ni Nani?
Sehemu zingine kama mabaa na grocery, TRA wanajificha wakihesabu umeuza nini, hata beer na chakula wnahesabu umeuza ngapi kisha wanakuvamia wanataka kodi. Hii inafanyika wapi? Mfuga kuku anavamiwa nyumbani kwake alipe kodi. Kwa nini wasifunge, wakati wanahangaika na kuku wanaokufa?
Kodi nchini Tanzania inatumika kama adhabu na kukomoana. TRA inaajiri vijana wasiojitambua, wanatishia walipa kodi. wanatisha kuifunga biashara yako na kupiga mnada ulivyo navyo kama hukubali kulipa kodi waitakayo. hasa wakinyimwa rushwa wanayoitaka wao. Duniani kote, hakuna serikali inayokusanya kodi kwa mtu ambaye hajauza hata chupi. Makadirio ya kodi, hiyo kodi inatoka wap wakati biashara hata bado? Anafanya tathmini, hata ya mwaka, wakati mwingine hata mwaka haufiki?
Uchumi wa Nchi hauendeshwi na kodi.Uchumi unaendeshwa na uzalishaji
Umeona eeh watu wanalamika tuuu.Kama hutaki kulipa kodi kama mimi usifanye biashara kabisaLipa Kodi Kwa Maendeleo ya Taifa, Acha Kuhujumu Uchumi Mimi Mwenyewe nalipa Kodi Kila Mwezi ambapo Sasa Imefika Sh. 345,400 kwa Mwaka nalipa Sh.4,114,400 na Silalamiki Najivunia Kulipa Kodi.
Hiyo nayo ni kodi ya kuja kujisifu mbele ya wanaume wenzako? Tena hicho ni kikodi cha kamshahara kako ka 1.7.Lipa Kodi Kwa Maendeleo ya Taifa, Acha Kuhujumu Uchumi Mimi Mwenyewe nalipa Kodi Kila Mwezi ambapo Sasa Imefika Sh. 345,400 kwa Mwaka nalipa Sh.4,114,400 na Silalamiki Najivunia Kulipa Kodi.
Mkuu hizo ni namba tu ambazo mtu yeyote anaweza kuandika. Weka ushahidi kama ni kwelli unalipa hicho kiasi. Kama ni mfanyakazi weka salary slip, kama ni mfanyabiashara weka Bank-pay-in slip. Vinginevyo hizo ni porojo tu, ID yenyewe fake!!
Acha Muendelee kukalia Makochi ya Mama na Baba Zenu yaani Unataka ni disclose Salary Slip yangu yenye Organization na Jina langu halisi kwenye Mitandao ya Kijamii?hebu weka risiti hapa ili tuamini! Vinginevyo ni uongo wa kiwango cha lami!
muoga mpaka unakimbia kivuli chako, mali ni yako kiwewe cha nini!?Acha Muendelee kukalia Makochi ya Mama na Baba Zenu yaani Unataka ni disclose Salary Slip yangu yenye Organization na Jina langu halisi kwenye Mitandao ya Kijamii?
Troll JF, wewe hulipi kodi unakatwa kodi- lini ulishajipanga foleni ukalipa hiyo kodi- muheshimu sana aliyekuajiri kwa kutumia akili ZAKE kukutengenezea ajira na mshahara wa kukulipa-NA UACHE NYODO KABISA. PIA WAMBIE WOTE MNAOISHI KWA MSHAHARA MUACHE NYODO KAMA ZAKOLipa Kodi Kwa Maendeleo ya Taifa, Acha Kuhujumu Uchumi Mimi Mwenyewe nalipa Kodi Kila Mwezi ambapo Sasa Imefika Sh. 345,400 kwa Mwaka nalipa Sh.4,114,400 na Silalamiki Najivunia Kulipa Kodi.
Without constitutional curbing mechanism, it is hard to prevent the natural tendency of government to be excessive.a makusudi Kabisa, TRA mmehujumu (Sabotage) Jitihada za Rais Magufuli kuelekea Uchumi wa Viwanda.
Kwa kipindi kirefu, TRA wamekuwa ni wababe, wamelalamikiwa sana. Hawamskilizi mtu, wamekuwa wakifanya mambo kwa kukurupuka na kukomoa. Unafungua biashara wanakuja na kukupa makadiro ya kutisha kabla ya kuanza biashara. Wafanya biashara wakaanza kwenda nchi jirani
Unaleta bidhaa bandarini, wanakupa ushuru mkubwa kuliko thamani ya bidhaa, unapobisha, unaombwa rushwa kubwa ili amigo wako utoke. Mwisho wa siku wafanya biashara wakaanza kusita kuagiza.Na ndio maana mizigo nayo ikapungua. Hapa mchawi ni nani?
Wafanya biashaa wadogowadogo wanalaimishwa kununua EFD machine wakati mitanni yao ni midogo kuliko thamani ya EFD. Kwa nini wasifunge biashara? Hapa Mchawi ni Nani?
Sehemu zingine kama mabaa na grocery, TRA wanajificha wakihesabu umeuza nini, hata beer na chakula wnahesabu umeuza ngapi kisha wanakuvamia wanataka kodi. Hii inafanyika wapi? Mfuga kuku anavamiwa nyumbani kwake alipe kodi. Kwa nini wasifunge, wakati wanahangaika na kuku wanaokufa?
Kodi nchini Tanzania inatumika kama adhabu na kukomoana. TRA inaajiri vijana wasiojitambua, wanatishia walipa kodi. wanatisha kuifunga biashara yako na kupiga mnada ulivyo navyo kama hukubali kulipa kodi waitakayo. hasa wakinyimwa rushwa wanayoitaka wao. Duniani kote, hakuna serikali inayokusanya kodi kwa mtu ambaye hajauza hata chupi. Makadirio ya kodi, hiyo kodi inatoka wap wakati biashara hata bado? Anafanya tathmini, hata ya mwaka, wakati mwingine hata mwaka haufiki?
Uchumi wa Nchi hauendeshwi na kodi.Uchumi unaendeshwa na uzalishaji
Without constitutional curbing mechanism, it is hard to prevent the natural tendency of government to be excessive.
Hapo kwenye makadirio wenyewe wanaita Provisional Tax nilikadiriwa kwa mwaka 1.2ml Mtaji nilijaza 1.5ml wakanipa slips za kwenda kulipa, TIN walikataa kunipa mpaka nilipe hiyo niliyokadiriwa na Mhasibu, nikalipa robo ambayo ni 300,000 nikapewa TIN ila nikamtuma mwenzangu afuatilie Tax Clearance Certificate, akapewa karatasi nyingine (payment Slips) kwamba tuongeze hela yaani inatakiwa 100,000.00 kwamba wamefanya valuation upya so tunapaswa kulipa extra 100,000.00!!!Kwa makusudi Kabisa, TRA inahujumu (Sabotage) Jitihada za Rais Magufuli kuelekea Uchumi wa Viwanda.