TRA Msimstafute Mchawi. Mchawi ni TRA

TRA Msimstafute Mchawi. Mchawi ni TRA

Nmekosa ajira,npo najpanga kufanya biashara,kila nikisikia inshu hz nachanganyikiwa kabsa
 
ukitaka kujua unachokiongea ni ujinga.
Bodi wake ameagiza sasaa apewe kazi ya kudumu maana mwanxo alikuwa amekaimu tu.

[HASHTAG]#yajayoyanafuraisha[/HASHTAG]
 
Watengeneze utaratibu wa uwazi katika ulipaji wa kodi na sio kukadiria kodi, mfano mtu kabla hajafungua biashara kuwe na uwazi kodi atakazolipa kwa mwaka na baada ya kipindi flani anafanyiwa tathimini kutokana na mtaji wake
 
JPM lazima avae miwani ya mbao kukata milija ya mabeberu ambao mizizi yake iko within...CCM ni watu hatari kuliko nzige.
JPM unakwamishwa na hao hao; wala si kina Mbowe, Lissu, Msigwa na Lema maskini wa Mungu. These guys are so innocent.
 
Picha ya kwanza: nyamaza nyama wee. Hii nchi ilikuwepo kabla wewe hujazaliwa.
Picha ya pili: pambafu nikikwambia unyamaze hukusikia ngoja nikufundishe adabu nyambafu wewe ili ukamsimulie babu yako kaburini.
TRA Imeoza. Uzalendo keisha wanaangalia matumbo yao
 
Lipa Kodi Kwa Maendeleo ya Taifa, Acha Kuhujumu Uchumi Mimi Mwenyewe nalipa Kodi Kila Mwezi ambapo Sasa Imefika Sh. 345,400 kwa Mwaka nalipa Sh.4,114,400 na Silalamiki Najivunia Kulipa Kodi.
mkuu samahani unazugumzia kodi ya kukatwa kutoka mshahara?
 
JPM lazima avae miwani ya mbao kukata milija ya mabeberu ambao mizizi yake iko within...CCM ni watu hatari kuliko nzige.
JPM unakwamishwa na hao hao; wala si kina Mbowe, Lissu, Msigwa na Lema maskini wa Mungu. These guys are so innocent.
Huyo anajikwamisha mwenyewe,usiwasingizie watu.Ina maana washauri wake hawakuwa wanajua hali ilivyo kwa mtaa hadi aje aambiwe na wafanyabiashara?Sera za biashara na viwanda pamoja na mikakati yake inaeleza kila kitu.Tatizo la huyo mtu wenu ni kutaka sifa kuliko pitiliza pamoja na roho mbaya.
 
Hawajamhujumu mkuu, kwani wakati wa Kikwete na Mkapa TRA si hawa hawa? Kwa nini sasa? Matatizo ya taasisi nyingi huwa ni kwenye 'bottleneck'. Kama mkubwa brain yake inaamini uchumi wa nchi ni kodi, unategemea hawa wapiga zumari wafanye nini?
Umenena vyema!
 
Back
Top Bottom