Kila kipato kina kodi.
Ukweli mtupu japo watu wengine hawapendi ukweli uliosema, rushwa ilianza huko huko kwa aliokuwepo mwanzo kwenye Serikali yetu wengine wanafata njia na kila tunapokwenda Mbele inazidi! Sababu mtu anasema kwenye mic au kuwambia wananchi tuwache rushwa haimanishi yeye anachukia rushwa au hafanyi rushwa au hakuwahi Kuwa kwenye rushwa! Ila la harusi sijaona vibaya hao kupewa zawadi tatizo hapo zawadi ni noti ingekuwa masufuria tusingesema kitu hata Kama thamani yake Kama hizo noti Pengine wangepewa masufuria ila kuna tatizo mmoja style hizi za kuanika manoti ovyo si vizuri hasa ukitegemea maisha ya wanadamu tofauti tunaopishana nao njiani haivutii zaidi ya hapo tunawatakia Wana harusi ndoa njema na maisha mema na muelekeo Mzuri katika maisha Yao.Wala hajakosea, na ndiyo maana kodi inayokusanywa sasa ni kubwa kuliko wakati wake, Mwinyi na Mkapa ukichanganya pamoja. Kumbuka hilo, halafu chemsha kiduchu hilo bongo lala lako.
Zawadi inalipiwa kodiNdio kwanza wamepewa hizo, hata risiti hawajatoa, kodi walipe saa ngapi?
Mambo wazi hapo, kodi muhimu.
Wala hajakosea, na ndiyo maana kodi inayokusanywa sasa ni kubwa kuliko wakati wake, Mwinyi na Mkapa ukichanganya pamoja. Kumbuka hilo, halafu chemsha kiduchu hilo bongo lala lako.
Wala hajakosea, na ndiyo maana kodi inayokusanywa sasa ni kubwa kuliko wakati wake, Mwinyi na Mkapa ukichanganya pamoja. Kumbuka hilo, halafu chemsha kiduchu hilo bongo lala lako.
In actual fact , ni ushamba!!!!!!!

mizawadi yote hiyo, hivi huyo faiza fox ana bikra kweli au ndo jamaa anauziwa mbuzi kwenye gunia watu washakula hadi wamechoka. nauliza bkr zote za mbele na nyuma. si unajua mambo yale ya zenji na uarabuni.Ndio kwanza wamepewa hizo, hata risiti hawajatoa, kodi walipe saa ngapi?
Mambo wazi hapo, kodi muhimu.