Tetesi: TRA kuja na 'Inheritance Tax',mdau nini maoni yako

Uongozi wa juu wa TRA huko katika hatua za mwisho kuanza mchakato wa ukusanyaji maoni juu aina mpya ya kodi itakayoanza kutumika mapema mwakani.

Kodi hiyo mpya itakuwa inawataka wanufaika wote wa urithi kulipa kodi ya asilimia 15, pamoja na hilo TRA pia hiko kwenye mchakato mwingine kama huo ambao hutawaka pia watu wote wanaopokea zawadi zinazozidi thamani ya mil tano(mil 5) pia kulipa kodi ya asilimia 15 ya thamani ya zawadi hiyo.

Bila shaka hili litakuwa pigo linguine kwa vibopa wanaohonga bongo movies magari maana itawabidi kuongeza asilimia 15 ya serikali juu yake.

Nini maoni yako?
Hii ni nyongeza ys Withholding Tax! ambayo ni Kodi gandamizi kwani mpangaji unamlipia mwenye nyumba kisa TRA hawana muda wa kumdai hivyo mlipie kisha umdai akurejeshee!
 
Back
Top Bottom