mirindimo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2009 Posts 1,042 Reaction score 2,143 May 15, 2023 #1 Imefikia hatua hiyo ili iweze ku experience kile ambacho wafanya biashara wengi wanakilalamikia ili kujiridhisha
Imefikia hatua hiyo ili iweze ku experience kile ambacho wafanya biashara wengi wanakilalamikia ili kujiridhisha
ILISACHA JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 2,184 Reaction score 4,043 May 15, 2023 #2 Aliyeelewa anieleweshe!
samtz1 JF-Expert Member Joined Nov 8, 2015 Posts 1,197 Reaction score 1,372 May 15, 2023 #3 ILISACHA said: Aliyeelewa anieleweshe! Click to expand...
kajamaa kadogo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2018 Posts 2,714 Reaction score 6,490 May 15, 2023 #4 ILISACHA said: Aliyeelewa anieleweshe! Click to expand... anakula kwa shemeji huyu
M Marytina JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 9,738 Reaction score 8,005 May 15, 2023 #5 Magifuli alifanya biashara nyingi kuhamia store Kwa store, kwan kuwa na fremu ni kujitafutia matatizo. Hatimaye viduka kwa nje vikawa vidogo na machinga soko Zima, huku wadosi wakiuza kutokea store
Magifuli alifanya biashara nyingi kuhamia store Kwa store, kwan kuwa na fremu ni kujitafutia matatizo. Hatimaye viduka kwa nje vikawa vidogo na machinga soko Zima, huku wadosi wakiuza kutokea store
Capslock JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 3,098 Reaction score 4,831 May 15, 2023 #7 Duka la tozo au duka gani?. mirindimo said: Imefikia hatua hiyo ili iweze ku experience kile ambacho wafanya biashara wengi wanakilalamikia ili kujiridhisha Click to expand...
Duka la tozo au duka gani?. mirindimo said: Imefikia hatua hiyo ili iweze ku experience kile ambacho wafanya biashara wengi wanakilalamikia ili kujiridhisha Click to expand...
TimeOut JF-Expert Member Joined Sep 20, 2022 Posts 3,893 Reaction score 8,484 May 15, 2023 #8 Wanalifungua kwa utaratibu gani! Waanzie brela kabisa, wasubiri wiki mbili kupata majibu wapeleke mkataba wa pango na makorokoro yote yanayo takiwa, wapige mahesabu yale yale wanayotupigiaga, na walipe kodi stahiki Sent using Jamii Forums mobile app
Wanalifungua kwa utaratibu gani! Waanzie brela kabisa, wasubiri wiki mbili kupata majibu wapeleke mkataba wa pango na makorokoro yote yanayo takiwa, wapige mahesabu yale yale wanayotupigiaga, na walipe kodi stahiki Sent using Jamii Forums mobile app
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,603 Reaction score 60,862 May 15, 2023 #9 Capslock said: Duka la tozo Click to expand... ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,991 Reaction score 831,561 May 15, 2023 #10 mirindimo said: Imefikia hatua hiyo ili iweze ku experience kile ambacho wafanya biashara wengi wanakilalamikia ili kujiridhisha Click to expand... Watakuwa wanauza nini? Kuna tofauti kubwa kati ya kuku wa kienyeji na wa kufugwa
mirindimo said: Imefikia hatua hiyo ili iweze ku experience kile ambacho wafanya biashara wengi wanakilalamikia ili kujiridhisha Click to expand... Watakuwa wanauza nini? Kuna tofauti kubwa kati ya kuku wa kienyeji na wa kufugwa
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 17,582 Reaction score 28,562 May 15, 2023 #11 mirindimo said: Imefikia hatua hiyo ili iweze ku experience kile ambacho wafanya biashara wengi wanakilalamikia ili kujiridhisha Click to expand... Watauza kodi?
mirindimo said: Imefikia hatua hiyo ili iweze ku experience kile ambacho wafanya biashara wengi wanakilalamikia ili kujiridhisha Click to expand... Watauza kodi?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,991 Reaction score 831,561 May 15, 2023 #12 Jidu La Mabambasi said: Watauza kodi? Click to expand... Asilimia 18
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,683 Reaction score 272,542 May 15, 2023 #13 mirindimo said: Imefikia hatua hiyo ili iweze ku experience kile ambacho wafanya biashara wengi wanakilalamikia ili kujiridhisha Click to expand... Wamuulize Jiwe yale maduka yake ya MSD yanaendeleaje Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
mirindimo said: Imefikia hatua hiyo ili iweze ku experience kile ambacho wafanya biashara wengi wanakilalamikia ili kujiridhisha Click to expand... Wamuulize Jiwe yale maduka yake ya MSD yanaendeleaje Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Katkit JF-Expert Member Joined Mar 12, 2023 Posts 1,907 Reaction score 4,717 May 15, 2023 #14 Hapo utapata levy, VAT na tax kwa bei ya jumla na rejareja
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,946 Reaction score 38,668 May 15, 2023 #15 mirindimo said: Imefikia hatua hiyo ili iweze ku experience kile ambacho wafanya biashara wengi wanakilalamikia ili kujiridhisha Click to expand... KUna sauti unazisikia kichwani kwako? Tujuze
mirindimo said: Imefikia hatua hiyo ili iweze ku experience kile ambacho wafanya biashara wengi wanakilalamikia ili kujiridhisha Click to expand... KUna sauti unazisikia kichwani kwako? Tujuze
Killing machine JF-Expert Member Joined Jul 24, 2022 Posts 2,374 Reaction score 3,395 May 15, 2023 #16 TimeOut said: Wanalifungua kwa utaratibu gani! Waanzie brela kabisa, wasubiri wiki mbili kupata majibu wapeleke mkataba wa pango na makorokoro yote yanayo takiwa, wapige mahesabu yale yale wanayotupigiaga, na walipe kodi stahiki Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nimeskia wanasema mpaka mwaka kesho kutwa jurai ndiyo litafunguliwa๐๐๐
TimeOut said: Wanalifungua kwa utaratibu gani! Waanzie brela kabisa, wasubiri wiki mbili kupata majibu wapeleke mkataba wa pango na makorokoro yote yanayo takiwa, wapige mahesabu yale yale wanayotupigiaga, na walipe kodi stahiki Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nimeskia wanasema mpaka mwaka kesho kutwa jurai ndiyo litafunguliwa๐๐๐
TimeOut JF-Expert Member Joined Sep 20, 2022 Posts 3,893 Reaction score 8,484 May 15, 2023 #17 Mshana Jr said: Watakuwa wanauza nini? Kuna tofauti kubwa kati ya kuku wa kienyeji na wa kufugwa Click to expand... Naona wote wanafugwa tu ndugu mshana! Utofauti wa kuku na mfugaji ndio kisanga Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana Jr said: Watakuwa wanauza nini? Kuna tofauti kubwa kati ya kuku wa kienyeji na wa kufugwa Click to expand... Naona wote wanafugwa tu ndugu mshana! Utofauti wa kuku na mfugaji ndio kisanga Sent using Jamii Forums mobile app
TimeOut JF-Expert Member Joined Sep 20, 2022 Posts 3,893 Reaction score 8,484 May 15, 2023 #18 Killing machine said: Nimeskia wanasema mpaka mwaka kesho kutwa jurai ndiyo litafunguliwa Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Killing machine said: Nimeskia wanasema mpaka mwaka kesho kutwa jurai ndiyo litafunguliwa Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
TimeOut JF-Expert Member Joined Sep 20, 2022 Posts 3,893 Reaction score 8,484 May 15, 2023 #19 Killing machine said: Nimeskia wanasema mpaka mwaka kesho kutwa jurai ndiyo litafunguliwa Click to expand... Hilo duka watakua wanauza nini au ni shopping mall ya TRA Sent using Jamii Forums mobile app
Killing machine said: Nimeskia wanasema mpaka mwaka kesho kutwa jurai ndiyo litafunguliwa Click to expand... Hilo duka watakua wanauza nini au ni shopping mall ya TRA Sent using Jamii Forums mobile app
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,569 Reaction score 94,847 May 15, 2023 #20 TimeOut said: Hilo duka watakua wanauza nini au ni shopping mall ya TRA Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... ๐๐๐๐
TimeOut said: Hilo duka watakua wanauza nini au ni shopping mall ya TRA Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... ๐๐๐๐