wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,008
- 28,342
Sasa mbona zile stika za vibali wanazibandika hapo za niniMagari ya taasisi za kiserikali uwa ni tax free
Sasa mbona zile stika za vibali wanazibandika hapo za niniMagari ya taasisi za kiserikali uwa ni tax free
Yapo kibao chunguza vizuri mkuu utaonaUlishawahi kuona hata gari lolote la serikali lina sticker yoyoye iwe ya TRA au bima??
Hakuna kitu kama hicho ndiyo maana ukinunua gari la serikali unaenda lipia ushuru ambao halikuwahi lipaSasa mbona zile stika za vibali wanazibandika hapo za nini