TRA: Kariakoo lazima EFD kwa wote

Wamegundua kosa lao?

Hata hivyo hangaya si alisema hataki kodi za dhuruma na kwamba anataka watu waachwe walipe kodi kwa hiari yao?
Alitaka walipe kodi halali na halisi na sio zile za kuchomekewa kwamba sijui anadaiwa kodi za miaka mitano au kumi iliyopita hesabu zake zilipigwa chini ya kile alichotakiwa kulipa hivyo analazimishwa kulipa huku akaunti yake ya benki ikipigwa pin na kutishiwa kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi.
Hizo ndio Rais Samia alikataa.
 
Sheria inasema kodi watalipa wenye fremu sio meza 😂😂😂 wala watundikaji wa ukutani
 
Ulaya ukikwepa utadaiwa hata baada ya miaka 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…