Umechukua hatua gani kama ni old news?Old news
Wadau wenzangu,nimekua nikifuatilia TIN hapa tra kwa muda wa wiki moja saiv kila siku imekua njoo leo njoo kesho,mara mtandao upo down mara bosi hayupo. Ila leo naona wameamua kunitolea uvivu na kuniomba rushwa wazi wazi. Sasa jamani kama kupata TIN number tu naomba rushwa je ikifika ktk kulipia kodi yenyewe itakuaje??
Nazan mwanasiasa na tra management inabidi wafanye kitu kuhusu hili suala maana kama mambo yenyewe ndo hivi izo target zao za kila mwezi zitakua hazitimii kila mwezi,kama trend zinavyoonyesha saiv
Baada ya uchaguzi kupita, ukiomba TIN namba TRA Mwenge kwa ajili ya biashara, wanakukadiria kodi kutokana na biashara ambayo hujaifanya bado wala leseni hujapata, na unatakiwa ulipe kwanza kodi ndipo upate TIN namba ya biashara.
Wadau wenzangu,nimekua nikifuatilia TIN hapa tra kwa muda wa wiki moja saiv kila siku imekua njoo leo njoo kesho,mara mtandao upo down mara bosi hayupo. Ila leo naona wameamua kunitolea uvivu na kuniomba rushwa wazi wazi. Sasa jamani kama kupata TIN number tu naomba rushwa je ikifika ktk kulipia kodi yenyewe itakuaje??
Nazan mwanasiasa na tra management inabidi wafanye kitu kuhusu hili suala maana kama mambo yenyewe ndo hivi izo target zao za kila mwezi zitakua hazitimii kila mwezi,kama trend zinavyoonyesha saiv
Pole sana! Ila hiyo bolded ni kama weye ndiyo waomba rushwa
Old news
Yalisha nikuta wakati nafuatilia cpaital gain baada ya kununua kiwanja kwa mtu, ni noma, kiwanja nimenunua millioni 10, na manispaa wamefanya evaluation millioni kumi na laki 7, Tra wanakwambia hayo maeneo tunaviwango vyetu, milioni 30 mzee, ambapo hapo ni gaini 10% ni 3m badala ya 1.07m ya awali, hapo sasa ufanyaje ugawane nao, maana wao huwa wanataka waanze kujenga msingi kwa hela yako ni noma.TRA ni university ya rushwa. Hata ukiwa na ndugu yako anakukwepesha ili ujilengeshe kwa mfanyakazi msiyejuana akukamue bila huruma
Level mzee zinatofautiana, TRA unaweza ukaacha mzigo wako, ni wabaya pasipo kuwaelezea.Msiwaonee TRA peke yao ni nchi nzima inanuka rushwa....... Mahakama, TRA, Bandarini, Polisi, Manispaa, Jiji, Wizarani, Barabarani, Maofisini....... KILA MAHARI RUSHWA NJE NJE
Msiwaonee TRA peke yao ni nchi nzima inanuka rushwa....... Mahakama, TRA, Bandarini, Polisi, Manispaa, Jiji, Wizarani, Barabarani, Maofisini....... KILA MAHARI RUSHWA NJE NJE