TRA mtaacha lini kero hii?

Tella Mande

JF-Expert Member
Jun 2, 2018
494
674
Kumekuwa na tabia sugu ya TRA kufanya kazi kama Trafiki wa Tz. Wanaamka, wanaweka kizuizi njiani eti wanakagua mapato ya malori. Mbaya zaidi kazi hiyo wanaifanya baada ya muda wazi, baada ya ofisi za TRA yenyewe kufungwa. Unapigiwa simu saa 3 usiku na dereva anakuambia TRA wanasema unadaiwa. Nipo Dar, amekamatiwa mikumi. Unaambiwa njoo na ushahidi kuwa hudaiwi !!

Kwanini kama mtu anadaiwa asiandikiwe barua ya wito akasuluhisha (reconcile) account yake.

Mtu akisema ni mitego ya rushwa atakuwa amekosea?

Halafu hata kama wamekosea wao, walikolaza gari nao wanataka kulipwa maegesho, tena hela ya ajabu, efu 75 kwa masaa 12. Wizi huu mpaka lini? Na risit hawatoi!!

Ningetamani kuwaona TRA wakikamata mchana ili mtu aweze kufika TRA lilipo file lake la kodi na kama ni deni basi awe amepewa barua ya wito zaidi ya mara 2 kama sheria na kanuni na busara zinavyoelekeza.

Wadau JE, na ninyi mmeyaona haya? Mnasemaje?
 
Wanazingua ndio maana mnafanya watu wawachukie TRA ila najua hao ni baadhi tu ya panya fulani ambao wanatafuta pesa ya kula kibabe kaeni mkao wa kula kiama chenu kinakuja unyanyasaji huo.
 
TRA wanaruhusiwa kuingia barabarani wakiwa na askari wa barabarani(traffic police)zaidi ya apo iyo kazi wanayofanya siyo rasmi.
 
Kumekuwa na tabia sugu ya TRA kufanya kazi kama Trafiki wa Tz. Wanaamka, wanaweka kizuizi njiani eti wanakagua mapato ya malori. Mbaya zaidi kazi hiyo wanaifanya baada ya muda wazi, baada ya ofisi za TRA yenyewe kufungwa. Unapigiwa simu saa 3 usiku na dereva anakuambia TRA wanasema unadaiwa. Nipo Dar, amekamatiwa mikumi. Unaambiwa njoo na ushahidi kuwa hudaiwi !!

Kwanini kama mtu anadaiwa asiandikiwe barua ya wito akasuluhisha (reconcile) account yake.

Mtu akisema ni mitego ya rushwa atakuwa amekosea?

Halafu hata kama wamekosea wao, walikolaza gari nao wanataka kulipwa maegesho, tena hela ya ajabu, efu 75 kwa masaa 12. Wizi huu mpaka lini? Na risit hawatoi!!

Ningetamani kuwaona TRA wakikamata mchana ili mtu aweze kufika TRA lilipo file lake la kodi na kama ni deni basi awe amepewa barua ya wito zaidi ya mara 2 kama sheria na kanuni na busara zinavyoelekeza.

Wadau JE, na ninyi mmeyaona haya? Mnasemaje?
ndg Kadeti hapa kufanya kazi usiku siyo shida wanaweza fanya hiyo kazi sababu kuna mambo mengi kama vile magendo n.k. na pili nachofahamu mikumi huwa wanakagua kama mizigo iliyobebwa ina risiti.nilishakuta hiyo ndiyo maana nasema hivi na siyo usiku tu hata mchana.wakati mwingine madereva wetu siyo watu wa kuwaamini sana unaweza pigwa changa la macho ukatuma hela ya maegesho kumbe dili.nakushauri hawa tra sihuwa wanatangazaga namba zao za simu piga mimi huwa nimesevu nikiona tu mtu anadai ni tra nawapigia kujua hii hapa ndugu yangu 0800780078 na ingine 0800750075 kuna wadada wanasauti nzuri tu wanapokeaga naamini watakusaidia
 
Kumekuwa na tabia sugu ya TRA kufanya kazi kama Trafiki wa Tz. Wanaamka, wanaweka kizuizi njiani eti wanakagua mapato ya malori. Mbaya zaidi kazi hiyo wanaifanya baada ya muda wazi, baada ya ofisi za TRA yenyewe kufungwa. Unapigiwa simu saa 3 usiku na dereva anakuambia TRA wanasema unadaiwa. Nipo Dar, amekamatiwa mikumi. Unaambiwa njoo na ushahidi kuwa hudaiwi !!

Kwanini kama mtu anadaiwa asiandikiwe barua ya wito akasuluhisha (reconcile) account yake.

Mtu akisema ni mitego ya rushwa atakuwa amekosea?

Halafu hata kama wamekosea wao, walikolaza gari nao wanataka kulipwa maegesho, tena hela ya ajabu, efu 75 kwa masaa 12. Wizi huu mpaka lini? Na risit hawatoi!!

Ningetamani kuwaona TRA wakikamata mchana ili mtu aweze kufika TRA lilipo file lake la kodi na kama ni deni basi awe amepewa barua ya wito zaidi ya mara 2 kama sheria na kanuni na busara zinavyoelekeza.

Wadau JE, na ninyi mmeyaona haya? Mnasemaje?
sasa wewe unataka upite bila kaguliwa? nani kakuambia serikali huwa inalala? je kama unapitisha magendo? kama unajijua hukulipa kodi kwanini hukulipa?kama unajua umelipa shida ipo wapi hata wakikusimamisha?yaani unataka uwe unataka walale usiku ili uwe unapitisha mambo yako? jamani tulipe kodi hizi barabara tunazotumia zinajengwa na pesa itokanayo na kodi hata tukikopa mkopo unarudishwa na kodi.sasa kila mtu akikimbia lipa kodi nani alipe?wee toka Dar mpaka Tunduma lami zaidi ya km 800 bado huini faida ya kulipa kodi? tuipende nchi yetu hakuna mtu wa nje atakayekuja leta maendeleo zaidi ya sisi wenyewe.Kodi kodi kodi kwa hiari ndiyo chahcu ya maendeleo ya nchi yetu
 
Ninaongelea kodi ya mapato ya mmiliki wa gari na sio risiti wala ukaguzi wa mizigo.

Hili la parking wala sio mbali ni TEMESA hapo keko.
 
nikushauri kama hutojali kuliko kuumia na kutuma humu jumbe hebu fika ofisi yao kama upo Dar hata makao makuu au ofisi unayolipia kodi wakusaidie zaidi ujue nini kinaendelea maana humu unaweza usipate msaada. usije kuta unachezewa na wajanja
 
Kumekuwa na tabia sugu ya TRA kufanya kazi kama Trafiki wa Tz. Wanaamka, wanaweka kizuizi njiani eti wanakagua mapato ya malori. Mbaya zaidi kazi hiyo wanaifanya baada ya muda wazi, baada ya ofisi za TRA yenyewe kufungwa. Unapigiwa simu saa 3 usiku na dereva anakuambia TRA wanasema unadaiwa. Nipo Dar, amekamatiwa mikumi. Unaambiwa njoo na ushahidi kuwa hudaiwi !!

Kwanini kama mtu anadaiwa asiandikiwe barua ya wito akasuluhisha (reconcile) account yake.

Mtu akisema ni mitego ya rushwa atakuwa amekosea?

Halafu hata kama wamekosea wao, walikolaza gari nao wanataka kulipwa maegesho, tena hela ya ajabu, efu 75 kwa masaa 12. Wizi huu mpaka lini? Na risit hawatoi!!

Ningetamani kuwaona TRA wakikamata mchana ili mtu aweze kufika TRA lilipo file lake la kodi na kama ni deni basi awe amepewa barua ya wito zaidi ya mara 2 kama sheria na kanuni na busara zinavyoelekeza.

Wadau JE, na ninyi mmeyaona haya? Mnasemaje?
Kuna kigari changu kilipeka mzigo mwanza miaka iliyopita mara napigiwa simu kimekamatwa pale makuyuni manainaaaaa nilipatwa na hasira afu ni usiku nkaambiwa kigari changu kinadaiwaaaa aisee niligafikirika kinyamaaa
 
hii hapa ndugu yangu 0800780078 na ingine 0800750075
Hii namba ina watu safi kabisa ila sasa watu walioko field uelewa wao no tofauti na hao walioko customer care. Juzi nimelipishwa ushuru wa kuagiza computer (laptop) pale Posta ya Iringa licha ya kumuelekeza afisa wa TRA kuwa hiyo laptop ni learning material na hivyo iko exempted na taxes hakuelewa. Hao wa customer care baada ya kuwapigia wakasema haitakiwi kuchajiwa, jamaa akakomaa na kodi. Licha ya mzigo kuonekana umekaguliwa Airport na kuwa releases na custom baso jamaa akakomaa kuukagua tena na kuuchaji. Ililazimu kulipa huku unajua kuwa sio sahihi kulipa, ni umburula wangu kama mtanzania ila ni umburula mkuu zaidi kwa afisa wa TRA kutokujua mambo ya kodi na ushuru. Tulipewa control number
 
Mwaka 2022 kuanzia tarehe 22 mwezi wa 12 walikua wanakaa pale vingunguti baada ya mataa na buguruni rozana

Kuanzia tarehe 27 sijawaona tena
 
Back
Top Bottom