TRA imetoa wapi mamlaka ya kugawa Sukari bure?

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,221
1,788
Nimesikia taarifa ya habari kuwa,Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) imegawa Sukari yote ya Magendo Mifuko 5,319 yenye thamani ya Zaidi ya Shilingi Milioni 373.5 kwa Taasisi mbali mbali Mkoani Lindi

Sakata la hii sukari lilianza Febuary mwaka huu,unaweza ukajiuliza
Tangu Februari hadi leo nini kilikuwa kinasubiriwa?

Je lini TRA imeanza kugawa BURE vitu vinavyodaiwa kodi?kwa hiyo kesho wakikamata gari ambazo hazijalipiwa ushuru watazigawa bure?

Je, wakikamata mafuta yatagaiwa bure?Haya yanayotokea ni madhara ya nchi kutokuwa na DIRA.

Tunakumbuka miezi miwili nyuma wimbo wa viongozi wote wa serikali kuanzia Dc,RCs,na wakuu wa idara zote za umma ulikuwa ni watumishi HEWA!

Suala la watumishi Hewa halijaisha limekuja suala la sukari sasa hadi TRA ambao sheria inawataka wakusanye kodi,ni mamlaka ya kukusanya kodi,wala sio kutoa vitu ambavyo havijalipiwa ushuru!

Kimsingi hii ni ishara na kielelezo cha Ombwe la uongozi,pamoja na ukosefu wa DIRA

Bila MAONO Taifa huangamia
 
Inasikitisha kama na wewe ni mwanasiasa mbumbumbu kiasi hiki,kwenye masuala ya kodi TRA wanapokamata mali za chakula baada ya kujiridhisha kuwa muagizaji amekwepa kodi...Hugawa mali hizo kwa taasisi za kiserikali kama shule,magereza nk.Weww kama mtunga sheria hapa jiji la Arusha kabla ya kuposti mambo mazito jiridhishe...Jirekebishe,kama maono ndio haya uliyoleta jifunze kusoma mambo ili....Jisahihishe.
 
Kutaifisha na kupiga mnada Ndiyo,je kugawa bure bidhaa ambayo haijalipiwa KODI ni sahihi?
Kama hujui Sheria kaa kimya....

Ina maana hujui kuwa TRA ina mamlaka kisheria

1: Kupiga fine bidhaa iliyoingizwa kimagendo AU

2: Kuitaifisha na kuigawa

3: Kuiuza?
 
Ngoja nikae hapa niwasikilize wataalamu wetu wa kodi maana ninaweza kupata elimu ya ulipaji kodi
 
Kutaifisha na kupiga mnada Ndiyo,je kugawa bure bidhaa ambayo haijalipiwa KODI ni sahihi?

Kutaifisha maana yake ni kuifanya hiyo mali iliyotaifishwa kuwa mali ya serikali.Ikishakuwa ya serikali,serikali ina uhuru wa kuifanya chochote hiyo mali yake yaweza iuza,igawa au itupa chooni au kuifanyia chochote ipendacho sababu ni mali yake.
 
"""
Nimesikia taarifa ya habari kuwa,Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) imegawa Sukari yote ya Magendo Mifuko 5,319 yenye thamani ya Zaidi ya Shilingi Milioni 373.5 kwa Taasisi mbali mbali Mkoani Lindi

Sakata la hii sukari lilianza Febuary mwaka huu,unaweza ukajiuliza
Tangu Februari hadi leo nini kilikuwa kinasubiriwa?

Je lini TRA imeanza kugawa BURE vitu vinavyodaiwa kodi?kwa hiyo kesho wakikamata gari ambazo hazijalipiwa ushuru watazigawa bure?

Je, wakikamata mafuta yatagaiwa bure?Haya yanayotokea ni madhara ya nchi kutokuwa na DIRA.

Tunakumbuka miezi miwili nyuma wimbo wa viongozi wote wa serikali kuanzia Dc,RCs,na wakuu wa idara zote za umma ulikuwa ni watumishi HEWA!

Suala la watumishi Hewa halijaisha limekuja suala la sukari sasa hadi TRA ambao sheria inawataka wakusanye kodi,ni mamlaka ya kukusanya kodi,wala sio kutoa vitu ambavyo havijalipiwa ushuru!

Kimsingi hii ni ishara na kielelezo cha Ombwe la uongozi,pamoja na ukosefu wa DIRA

Bila MAONO Taifa huangamia
""'
BOSS SHERIA ZA KODI ZINAWARUHUSU TRA KUFANYA MAMBO HAYA KWENYE MZIGO ULIOKWEPA KODI KUUPIGA MNADA, KUUGAWA KWA JAMII, AMA KUUTEKETEZA NA KAMA KAMISHNA ATAKAVYOONA INAFAA
 
Kutaifisha na kupiga mnada Ndiyo,je kugawa bure bidhaa ambayo haijalipiwa KODI ni sahihi?
MKUU naomba usome east africa custom management act... inasemaje kuhusu kugawa bure bidhaaa
ephata nanyaro nakushauri kaka yangu ubadilike uwe mwanasiasa sio mwanaharataki
 
Mkuu umekurupuka Mheshimiwa Diwani hiyo sukari iliingizwa nchini kimagendo na Sheria ya kodi inawapa ruhusa kufanya hivyo. Sijasikia kama zile sukari zilizohifadhiwa/ kufichwa kwenye maghala kama nazo zimegawiwa bure maana pale inatakiwa kutumika Sheria ya uhujumu uchumi na sio Sheria ya kodi.

Sheria ya uhujumu uchumi inahitaji umakini mkubwa Sana kuitumia
 
Kutaifisha na kupiga mnada Ndiyo,je kugawa bure bidhaa ambayo haijalipiwa KODI ni sahihi?
Halafu wewe inawezekana una cheo ndani ya serikali au chama lakini hutumii hata common sense.

Hata mwanafunzi wa darasa la saba atafahamu kazi za serikali kupitia taasisi zake kama TRA.

Hufahamu kama TRA ni taasisi ya serikali.

Unapopewa huduma bure kutoka serikalini kama elimu au hospitali huwa unahoji kwa nini serikali isikuuzie au unahoji serikali imepata wapi madaraka ya kukupa bure.

Hufahamu kuwa vitu vikitaifishwa vinakuwa mali ya serikali.

Hufahamu kuwa hata pesa zinazolipwa kama kodi huwa zinakuwa mali ya serikali na serikali inapanga jinsi ya kuvitumia kulingana na priority kitaifa.

Kuna baadhi ya watu mnashangaza kweli!
 
Nimesikia taarifa ya habari kuwa,Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) imegawa Sukari yote ya Magendo Mifuko 5,319 yenye thamani ya Zaidi ya Shilingi Milioni 373.5 kwa Taasisi mbali mbali Mkoani Lindi

Sakata la hii sukari lilianza Febuary mwaka huu,unaweza ukajiuliza
Tangu Februari hadi leo nini kilikuwa kinasubiriwa?

Je lini TRA imeanza kugawa BURE vitu vinavyodaiwa kodi?kwa hiyo kesho wakikamata gari ambazo hazijalipiwa ushuru watazigawa bure?

Je, wakikamata mafuta yatagaiwa bure?Haya yanayotokea ni madhara ya nchi kutokuwa na DIRA.

Tunakumbuka miezi miwili nyuma wimbo wa viongozi wote wa serikali kuanzia Dc,RCs,na wakuu wa idara zote za umma ulikuwa ni watumishi HEWA!

Suala la watumishi Hewa halijaisha limekuja suala la sukari sasa hadi TRA ambao sheria inawataka wakusanye kodi,ni mamlaka ya kukusanya kodi,wala sio kutoa vitu ambavyo havijalipiwa ushuru!

Kimsingi hii ni ishara na kielelezo cha Ombwe la uongozi,pamoja na ukosefu wa DIRA

Bila MAONO Taifa huangamia
Na kama huko walikoigawa ni kweli kuna mahitaji hayo na je kweli imegawiwa ? Maana kuna ushahidi wa mgambo wa jiji la dsm kugawana vyakula vya mamalishe vilivyokubaliwa vikamwagwe au kuteketezwa , je huko lindi ustaarabu kama huu hakuna ? Tutajiridhishaje ?
 
1. Wafanyabishara nao wamepata wapi mamlaka ya kuficha sukari?
2. Je ni kifungu gani cha sheria kinamruhusu mfanya biashara kuficha sukari?

Yaani mie ndo hapa najishangaaga sijielewi au nalazimisha kutokuelewa.

Kable sijajibu swali lako nakwama katika maswali yangu hayo
 
Kutaifisha na kupiga mnada Ndiyo,je kugawa bure bidhaa ambayo haijalipiwa KODI ni sahihi?
Hoja yako inahamahama, tatizo lako Ni bora TRA wangepiga mnada hiyo Sukari kuliko kuigawa bure kwa taasisi? Najaribu kukuulewa mkuu!
 
Back
Top Bottom