Mi nakubaliana na mleta UZI kazi za TRA,NSSF,PPF na mamlaka zote za kiserikali kumejaa sana urasimu katika ajira.undugu,udini mfano NSSF na ukabila ndo mpango mzima huko,kwa mliopata fairly huko ni bahati yenu tu,wengi ni kwa kubebwa. Suala la GPA sio ishu kwanza linategemea na chuo ulichosomea first class ya IFM,SAUT,TUMAINI n.k ni sawa na lower second ya UDSM.hicho kigezo sio fair kwa watu wa UDSM na SUA huko elimu ni tyt sana na hakuna mianya ya maksi za kununua na za CHUPI. anaebisha acha abishe kwasababu walimu wa UDSM ndo wanafundsha hvyo vyuo kwa part tym na mara nyingi hupewa maelekezo ya kuhakikisha wanafunzi wanafaulu sana!!! atlest utumishi is more fair watoto wa wakulima wengi wanapata nafasi