Tra huu ni usanii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tra huu ni usanii

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mlachake, Aug 20, 2010.

 1. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Jamani wana JF
  Kuanzia Mwezi wa saba rate ya TRA ya ku inflate Bei za magari Kutoka Nje ili Mhusika alipe kodi kubwa imepanda kwa kasi sana.
  Hivi kama nina TT form niliyojaza kuagizia Gari na E-mail Correspondents. Mtu anataka Ushahidi gani tena kujua Bei halali niliyonunulia gari.
  Jamani TRA acheni usanii. Au ndo mnakusanya pesa za nanihiii...
   
 2. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2010
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,272
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Kitu kilichonishangaza sana ni kuona topic hii imekaa muda mrefu bila kuchangiwa. Na hiki ndio kilio cha watu wegi ambao waaagiza magari kutoka nje. Sasa kabla ya kutoa mani yangu ndugu yangu Malchake (hivi kuna mtu anakula cha mwingine! Hahahah!). hebu soma hizi valuation principales zinazotumiwa na TRA katika kutathmini bidhaa zote zinzoagizwa nje ya nchi. Ukimaliza kusoma niambie nikupe maoni yangu kwa nini wananfanya hivyo. Nitakuwekea machapisho mawili moja kutoka WTO na jingine kutoka sheria ya Forodha ya Afrika Mashariki inayotumika Tanzania. Kimsingi machapisho yote yanfanana. Ukimaliza kusoma niambie kwa nini yanatafsiriwa vibaya Tanzania.
  View attachment CUSTOMS VALUATION METHODS.pdf View attachment FOURTH SCHEDULE OF EACMA.doc
   
 3. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2010
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mlachake /Congo;

  Ninakubaliana na michango yenu hapo juu.....TRA wamekuwa very agressive katika kukusanya kodi in TZ! Yes, wamekuwa wakiuplift CIF za magari bila mpangilio wowote na bila maelezo yanayoeleweka kwa mlipa kodi. Wanadai kwa kila aina ya gari wanastandard costs zao ambazo hutumika kama base ya kufanya assessment ya value ya gari lililoingizwa......! Which means hata kama muagizaji atakuwa kabargain na kupata bei ya chini, na hiyo cost ikawa chini ya ile waliyonayo (standard) they will go with theirs......!

  Hata hivyo kama mlipa kodi hujaridhika na makadirio ya kodi, unaweza ukalipa under protest, then uka appeal kwa Commissioner for customs ukiambatanisha ushahidi wote eg email correspondences, Money transfer document (showing details za gari ulilonunua), ankara, etc etc......!

  Tatizo la kuappeal ni kwamba inakupotezea muda mwingi sana kufuatilia kwa sababu these people wanakuwa very reluctant kudeal na cases hizi......!

  Issue nyingine hapa, siku hizi hawa ma customs officers hawajulikana sana na wala huwezi kuwaona kirahisi na kwenye assessments wanakuwa identified kwa namba sio majina.....! hata ukienda pale kaunta huwezi waona wao, unawaona mamessangers tu...so kudeal na issues za appeal ina kuwa ngumu sana....ndio maana watu wengi hupenda kulipa tu magharama yasiyohalali.....! but this is not correct!
   
 4. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Utwiga huo. Watz tuacheni kuwa matwiga...we have to be aggressive!this is simply bulls***! Mnaogopa kisa process ndefu?fight for ur right!
   
Loading...