TRA hawana materials za kutengeneza driving license

TRA hawana materials za kutengeneza driving license

trplmike

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
701
Reaction score
798
Ni wiki ya tatu sasa tangu leseni yangu ya gari imeisha muda wake. Nilikwenda ku-renew wakaniambia nirudi baada ya wiki 2 maana materials za kutengeneza license zimewaishia.

Nilivyorudi wakasema bado hawajapata materials nirudi baada ya wiki moja
Nimerudi tena baada ya wiki moja wanasema bado hazijatengenezwa.

Inawezekana tatizo ni materials au kampuni ambayo inawatengenezea wameshindwana? Kwa kweli hii kitu ni uzembe wa hali ya juu.
TRA jitahidini kwenda na hii speed ya viwanda na biashara
updates
leseni zimeanza kutoka tena.. leo tarehe 26/7 nimeikuta leseni yangu ipo tayari baada ya kuisubiri zaidi ya miezi 2
 
Nilitakiwa kwenda kuchukua toka wiki iliopita ila naona uvivu.
Bora niende mwisho wa mwezi huu.
 
hao wanataka rushwa nadhani !!
driving license tenda hutolewa kwa makampuni mengine mengi then yakitengeneza yanawapa TRA nakuwapa madereva.
 
Kwahiyo muda wote huo shughuli zako zimesimama?kama unaingiza kipato chako kwa kazi ya udereva inakuwaje hapo...
 
Kwahiyo muda wote huo shughuli zako zimesimama?kama unaingiza kipato chako kwa kazi ya udereva inakuwaje hapo...
wanakuambia utembee na risit uliyolipia bank na card ya zamani
lkn kama ujuavyo watu wengi tulikuwa tunaitumia hiyo leseni kama kitambulisho.sasa hvi ukienda nayo sehemu kama bank wanaikataa
 
Mkuu hiyo ni fursa, tafuta hayo materials kwa hati ya dharura supply to them wakati ukitafuta namna ya kupata mkataba wa muda mrefu.
 
TRA wamepewa majukumu mengi mno,why hizi leseni zisitolewe na polisi kitengo cha traffic?wao wapo vema kutunza kumbukumbu ya hizi leseni ,inabidi wao wakujulishe mwezi mmoja kabla licence yako kwisha ili ukai renew.pole
 
Basi ntaenda january 2018.

Siwezi kupoteza muda kila mara.
just thinking out of box
sababu no zetu za simu wanazo wangekuwa na utaratibu wa kututext zitakapokuwa tayari.
ila ninavyowaona hao watendaji hata kama hili hawan
 
TRA wamepewa majukumu mengi mno,why hizi leseni zisitolewe na polisi kitengo cha traffic?wao wapo vema kutunza kumbukumbu ya hizi leseni ,inabidi wao wakujulishe mwezi mmoja kabla licence yako kwisha ili ukai renew.pole
well said
 
Bila hata kujulishwa imeandikwa kwenye leseni yako na uko nayo muda wote
 
TRA wamepewa majukumu mengi mno,why hizi leseni zisitolewe na polisi kitengo cha traffic?wao wapo vema kutunza kumbukumbu ya hizi leseni ,inabidi wao wakujulishe mwezi mmoja kabla licence yako kwisha ili ukai renew.pole

Mkuu hata TRA nao wana kitengo kinqchohusiana na leseni za vyombo vya moto tu na ni moja ya majukumu yao.Unaposema zitolewe kitengo cha traffic sioni kama ina tija kwa sababu issue kubwa hapo ni mapato na ndiyo maana unapoenda kulipa CRDB kwenye account za TRA za leseni kwa mara ya kwanza ili upate leseni ni lazima polisi waverify kwenye system ambayo ipo linked na TRA ndio uje TRA kupata leseni...udhibiti wa mapato yasipotee kirahisi.
 
Mm naikubali material Ya leseni Ya Zimbabwe tu!

Ova
 
Nimekuelewa mkuu Elninho,wewe huoni kuwa hawa TRA wamebebeshwa majukumu mengi mno,kwanza mapato yanayotokana na hizi leseni zilitakiwa kiwe moja ya vyanzo vya mapato kwa serikali za mitaa,na haya magari ilibidi yasajiliwe kimkoa ,na vile vile driving licence ni traffic walitakiwa ndio wawe wana fanya hizi driving test na driving licence,vile vile hawa traffic ndio walitakiwa wawe wanafanya roadworthy na mapato yote yanaingia kwenye local gov.TRA wao wasimamie vyanzo vikubwa vya mapato,kama migodi,income tax,etc,vile vile wawe na kitengo maalum cha kuweza ku infiltrate syndicates zinazokwepa kulipa kodi na kuathiri uchumi wetu,sio kukumbizana na vijipato vya licences.
 
Back
Top Bottom