Nimekuelewa mkuu Elninho,wewe huoni kuwa hawa TRA wamebebeshwa majukumu mengi mno,kwanza mapato yanayotokana na hizi leseni zilitakiwa kiwe moja ya vyanzo vya mapato kwa serikali za mitaa,na haya magari ilibidi yasajiliwe kimkoa ,na vile vile driving licence ni traffic walitakiwa ndio wawe wana fanya hizi driving test na driving licence,vile vile hawa traffic ndio walitakiwa wawe wanafanya roadworthy na mapato yote yanaingia kwenye local gov.TRA wao wasimamie vyanzo vikubwa vya mapato,kama migodi,income tax,etc,vile vile wawe na kitengo maalum cha kuweza ku infiltrate syndicates zinazokwepa kulipa kodi na kuathiri uchumi wetu,sio kukumbizana na vijipato vya licences.