TRA hawana materials za kutengeneza driving license

TRA hawana materials za kutengeneza driving license

So yameisha kama yake ya kadi za mwendo kasi? Mana siku hizi kaulizie kadi kama utapewa, afu hakuna anayefatilia
 
Kata efu 50 materials yatapatikana fasta.. Hata kwa kutumia batiki leseni yako itatengenezwa...
 
Nimekuelewa mkuu Elninho,wewe huoni kuwa hawa TRA wamebebeshwa majukumu mengi mno,kwanza mapato yanayotokana na hizi leseni zilitakiwa kiwe moja ya vyanzo vya mapato kwa serikali za mitaa,na haya magari ilibidi yasajiliwe kimkoa ,na vile vile driving licence ni traffic walitakiwa ndio wawe wana fanya hizi driving test na driving licence,vile vile hawa traffic ndio walitakiwa wawe wanafanya roadworthy na mapato yote yanaingia kwenye local gov.TRA wao wasimamie vyanzo vikubwa vya mapato,kama migodi,income tax,etc,vile vile wawe na kitengo maalum cha kuweza ku infiltrate syndicates zinazokwepa kulipa kodi na kuathiri uchumi wetu,sio kukumbizana na vijipato vya licences.
mimi naungana na wewe. TRA inabidi baadhi ya vitengo wavioutsource. kitengo cha driving license ndio rahisi kabisa kuwa outsourced Lazima efficiency itakuwa nzuri
TRA hawawezi kufanya kila kitu ndio
 
Kweli mkuu mimwenyewe wananizungusha wiki ya tano sasa tra ya Tanga kila ukienda unaambiwa tumeishiwa material sasa kama hamkujipanga sibora mturudishie zile za makaratasi tu
 
Isha nikuta mwez wa nne. But niliipata baada ya siku 24. Ni pale kijitonyama millennium towers
 
Sasa kwanini huwa wanaturudishia zile zilizoexpire?walitakiwa wapunguze gharama wanazotuchaji,then unapoenda kurenew wanakupa mpya wanachukua hii ya zamani wanairecycle.mana watu wanakuwa na old license ambazo hawana kazi Nazo.

Sasa kurenew ni kazi ivyo,ambao wamepoteza si balaa,manake mlolongo wake utakuwa umejaa rushwa iliyopitiliza.
 
Yawezekana kuwa kweli. Hata material yanayotumika kutengeneza visa passport nayo yameisha.
 
Kweli mkuu mimwenyewe wananizungusha wiki ya tano sasa tra ya Tanga kila ukienda unaambiwa tumeishiwa material sasa kama hamkujipanga sibora mturudishie zile za makaratasi tu
pole sana kamanda. tupo wengi
 
Ni wiki ya tatu sasa tangu leseni yangu ya gari imeisha muda wake. Nilikwenda ku-renew wakaniambia nirudi baada ya wiki 2 maana materials za kutengeneza license zimewaishia.

Nilivyorudi wakasema bado hawajapata materials nirudi baada ya wiki moja
Nimerudi tena baada ya wiki moja wanasema bado hazijatengenezwa.

Inawezekana tatizo ni materials au kampuni ambayo inawatengenezea wameshindwana? Kwa kweli hii kitu ni uzembe wa hali ya juu.
TRA jitahidini kwenda na hii speed ya viwanda na biashara
TRA ya mkoa upi mkuu
 
anhaa yani mpaka leo bado tu...nini tatizo
jibu lao ni moja tu. hakuna materials za kutengeneza hizo leseni. Rudi baada ya wiki 2.
ukiendelea kuwauliza wanakuwa wakali kweli kweli. wanasema lipo njee ya uwezo wao
 
jibu lao ni moja tu. hakuna materials za kutengeneza hizo leseni. Rudi baada ya wiki 2.
ukiendelea kuwauliza wanakuwa wakali kweli kweli. wanasema lipo njee ya uwezo wao
Mmmh kuna tatizo mahali asee
 
kuna aliekwenda TRA karibuni atujuze kama lesenj ya magari zimeshaanza kutoka?
 
Ni wiki ya tatu sasa tangu leseni yangu ya gari imeisha muda wake. Nilikwenda ku-renew wakaniambia nirudi baada ya wiki 2 maana materials za kutengeneza license zimewaishia.

Nilivyorudi wakasema bado hawajapata materials nirudi baada ya wiki moja
Nimerudi tena baada ya wiki moja wanasema bado hazijatengenezwa.

Inawezekana tatizo ni materials au kampuni ambayo inawatengenezea wameshindwana? Kwa kweli hii kitu ni uzembe wa hali ya juu.
TRA jitahidini kwenda na hii speed ya viwanda na biashara
Nadhani ilo tatizo ni la muda mrefu, mimi mwaka Jana nilienda kurenew leseni ilikuwa imekwisha mwezi wa Sita nilipata mwezi wa nane. Nilimtumia kama miezi miwili ivi. Cha Msingi unaendelea kutumia ile ile iliyokwisha Sema kwa sasa ivi matrafiki walivyo chachamaa ile lisiti ya benki, tembea na kopi yake yasije yakakuta ya boko, maana traffic wanapiga BAO kama kuendesha Gari ni kuwa na kosa la JINAI
 
Back
Top Bottom