TRA demands 3bn/- in taxes from FastJet

TRA demands 3bn/- in taxes from FastJet

Hebu iondoeni Fastjet muone hasira zetu. Hii ni vita ya kibiashara na waziri wa fedha anatakiwa kujiuliza kama kiti kinamtosha. Ni wazi na haina chenga hii ni hujuma kwa Fastjet na pigo kwa walalahoi. Sijawahi kuichukia serikali lakini kwa hili imani yangu inatetereka na nasubiri uonevu utokee.
 
Hahaha TRA bana mnahisa precision?????au mnataka shirika la ndege liwe precision peke yake????

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Haiwezekani kutojua kuhusu haya madeni. Acqusition ya makampuni makubwa kama hayo due diligence is a must. So lazima ionekane

Inawezekana sana yalijulikana na kukawa na makubaliano katika mauziano, ambayo pengine ndiyo yanasukuma madai haya yanayotolewa na TRA na TAA na kuwekwa wazi. Ninachosema wadai walipaswa kuhakikisha wanalipwa na Fly540 wakati wa mauziano. Kuja sasa na kuonyesha madai ya Fly540 kwa FastJet ambayo ilianza miezi mitatu tu iliyopita ndiyo inayowachanganya wananchi.
 
Ukienda pala DIA utakuwa bado kuna ndege zinaruka toka Dar - Zanzibar - Nairobi kwa jina la Fly540; wakakamate moja kama kweli hayo madai ni "genuine"
 
Huu ushahuri mzuri na wafanye hivyo. Hao (Fly540) wanafanya biashara hiyo kwa leseni ipi? Lakini kwa Tanzania huwezi kushangaa hayo!
 
Problems are piling up on Fly540 Tanzania which has been rebranded to FastJet, as the Tanzania Revenue Authority (TRA) is demanding unpaid taxes amounting to 2.8 bn/-.

FastJet.jpg

The TRA claim comes a few days after the Tanzania Airports Authority (TAA) had demanded the airline to pay over 570,668,242/- and 95,360.50 US Dollars in outstanding landing and parking charges.

The TAA letter dated February 12 this year also requires the airline to provide the authority within three working days a clear position regarding the clearance of the outstanding debt.

In the latest move, TRA claims in the letter whose copy was availed to ‘Daily News’ that the airline has not met its obligations which include tax liabilities such as Pay As You Earn (PAYE) as per payroll analysis amounting to 456,317,637/- and PAYE difference with accounts worth of 987,517,985/-. Other categories of tax claims include; Skills Development Levy (SDL) amounting to 117,872,376 /-, SDL per differences with final accounts worth of 237,004,317/- , final rental tax of 70,877,283/-, stamp duty amounting to 15,708,037/- and departure tax of 951,562,012/-. Dated December 3, 2012, the document states that the scope of TRA audit of tax liabilities facing the airline had included corporate tax remittances from 2009 to 2011, PAYE and SDL starting from January 2009 to November 2012 and Rental and Stamp Duty from 2009 to 2012.

According to TRA, the preliminary audit of all categories of taxes outlined above are yet to be paid by the company which was registered as an airline known as Fly540 Tanzania on May 29th in 2008.

The TRA document further states that the audit was intended to induce voluntary compliance through effective and efficient tax audit programme and to utilize audit opportunities to educate, foster customer care hence build trust, confidence and improved compliance to tax payer, FastJet.

Fastjet is incorporated in England and Wales under the companies Act 1985 with its registered office at Gatwick Airport in the UK. FastJet’s Africa Operations, previously Lonrho Aviation (BVI) Ltd, have been licensing the Fly540 brand from Five Forty Aviation since 2008.

FastJet’s Africa Operations now fly three Fly540 branded planes in Angola and two in Ghana. It flew two planes using the Fly540 brand in Tanzania until November 2012 when the new company took over its operations in the country.

KAELEZO YA FASTJET KWENYE SITE YAO NI HAYA

Inaccurate media reports

15th Feb '13 by fastjet

fastjet imefadhaika kwa mara nyingine tena baada ya nakala isiyo sahihi kuchapishwa kwenye Vyombo vya habari leo.

Madeni haya ya zamani yanayodaiwa kutolipwa, kama nakala zisemavyo, tunaamini, kimsingi ni madai yatokayo Fly540 Kenya inayoendeshwa na Mr Don Smith.

Kuna ukosefu wa uwazi kuhusu madeni haya ya nyuma, na tumekuwa tukishirikiana na TRA na TAA kuelewa madeni hayo yapo sehemu gani. Ambapo viwango vya fedha baada ya uchunguzi, vimekubalika na madeni yakajulikana, tumelipa kiwango cha madeni hayo haraka sana.

Katika miezi michache ya uendeshaji, fastjet imefanikiwa kubeba abiria zaidi ya 70,000. fastjet imeshusha gharama ya usafiri wa anga nchini Tanzania na imefanikiwa kutoa huduma yenye usalama wa juu na utendaji wake haujawahi kuonekana nchini. Tumedhamiria kuendelea kukua, na kuendelea kuwapa wananchi wa Tanzania nafasi maradufu ya kusafiri kwa gharama nafuu.

fastjet are dismayed that once again an inaccurate article has been published in the Media today.

The historic debts that the article refers to were, we believe, primarily incurred by the Fly540 operation in Kenya run by Mr Don Smith.

There is a distinct lack of clarity regarding the historic charges and we have been working with the TRA and TAA to understand where the liability sits. Where amounts have been agreed and liability ascertained, we have settled those amounts rapidly.

In its first few months of operation, fastjet has carried over 70,000 passengers, has dramatically lowered the cost of flying in Tanzania and has delivered a level of safety and performance never seen before in the country. We are determined to continue to grow, despite the attempts from various quarters, and to offer the people of Tanzania greater opportunity to fly at an affordable cost.
 
then Due diligence haikufanywa vizuri na fastjet au kuna info zinamiss hapa... ilikuelewa hili sakata
 
Problems are piling up on Fly540 Tanzania which has been rebranded to FastJet, as the Tanzania Revenue Authority (TRA) is demanding unpaid taxes amounting to 2.8 bn/-.

FastJet.jpg

The TRA claim comes a few days after the Tanzania Airports Authority (TAA) had demanded the airline to pay over 570,668,242/- and 95,360.50 US Dollars in outstanding landing and parking charges.

The TAA letter dated February 12 this year also requires the airline to provide the authority within three working days a clear position regarding the clearance of the outstanding debt.

In the latest move, TRA claims in the letter whose copy was availed to ‘Daily News’ that the airline has not met its obligations which include tax liabilities such as Pay As You Earn (PAYE) as per payroll analysis amounting to 456,317,637/- and PAYE difference with accounts worth of 987,517,985/-. Other categories of tax claims include; Skills Development Levy (SDL) amounting to 117,872,376 /-, SDL per differences with final accounts worth of 237,004,317/- , final rental tax of 70,877,283/-, stamp duty amounting to 15,708,037/- and departure tax of 951,562,012/-. Dated December 3, 2012, the document states that the scope of TRA audit of tax liabilities facing the airline had included corporate tax remittances from 2009 to 2011, PAYE and SDL starting from January 2009 to November 2012 and Rental and Stamp Duty from 2009 to 2012.

According to TRA, the preliminary audit of all categories of taxes outlined above are yet to be paid by the company which was registered as an airline known as Fly540 Tanzania on May 29th in 2008.

The TRA document further states that the audit was intended to induce voluntary compliance through effective and efficient tax audit programme and to utilize audit opportunities to educate, foster customer care hence build trust, confidence and improved compliance to tax payer, FastJet.

Fastjet is incorporated in England and Wales under the companies Act 1985 with its registered office at Gatwick Airport in the UK. FastJet’s Africa Operations, previously Lonrho Aviation (BVI) Ltd, have been licensing the Fly540 brand from Five Forty Aviation since 2008.

FastJet’s Africa Operations now fly three Fly540 branded planes in Angola and two in Ghana. It flew two planes using the Fly540 brand in Tanzania until November 2012 when the new company took over its operations in the country.

Mnatuchanaganya mkuu, FastJet nikashtuka kweli!
 
Kila ngoma, ina nyangoma....

Washaanza hujuma, wakishindwa kushindana , wanatumia vyombo vya serikali kukuzuia. Siku zote, TRA wako wapi, wanapofanya dili tunabadilisha jina la hoteli Sheraton - Royal Palm- Movenpick - Serena, mbona hajuwahi kuambiwa wanadaiwa kodi.
,
Kilaza mmoja wa TIC akaenda kwenye vyombo vya habari na kutetea mfumo huo. Ati watanzania hawaelewi, mmiliki wa hoteli na mwendeshaji wa watu wawili tofauti, wanakuja na brand mpya ndio maana wanabadilisha jina. Je, mantiki hiyo haitumiki kwa fast Jet.

Bongo ni zaidi ya unavyoijua!!
 
Fast jet au fly 540 ili deni????????????
 
fast jet imenunua fly540 lakini kwenye website yao imesema wame-rebrand, sasa hapa kipi ni kipi wamenunua au wamerebrand?
kama wamerebrand madeni ni yao
kama wamenunua then fly540 wanatakiwa walipe capital gains

ukisoma hii habari utaona Tra wanarecord za fastjet hawakununua bali wamebadilisha jina kwa hiyo hayo madeni ni ya kwao.

kuna habari nyingine zinaonyesha kuna sintofahamu kati ya fastjet na fly540 wakati wanauziana, kama ni kweli then hawa jamaa inabidi waadhibiwe kwa kuidanganya tra kuwa wamebadilisha jina kumbe wamenunua na hiyvo kuikosesha tra capital gains
 
Problems are piling up on Fly540 Tanzania which has been rebranded to FastJet, as the Tanzania Revenue Authority (TRA) is demanding unpaid taxes amounting to 2.8 bn/-.

FastJet.jpg

The TRA claim comes a few days after the Tanzania Airports Authority (TAA) had demanded the airline to pay over 570,668,242/- and 95,360.50 US Dollars in outstanding landing and parking charges.

The TAA letter dated February 12 this year also requires the airline to provide the authority within three working days a clear position regarding the clearance of the outstanding debt.

In the latest move, TRA claims in the letter whose copy was availed to ‘Daily News’ that the airline has not met its obligations which include tax liabilities such as Pay As You Earn (PAYE) as per payroll analysis amounting to 456,317,637/- and PAYE difference with accounts worth of 987,517,985/-. Other categories of tax claims include; Skills Development Levy (SDL) amounting to 117,872,376 /-, SDL per differences with final accounts worth of 237,004,317/- , final rental tax of 70,877,283/-, stamp duty amounting to 15,708,037/- and departure tax of 951,562,012/-. Dated December 3, 2012, the document states that the scope of TRA audit of tax liabilities facing the airline had included corporate tax remittances from 2009 to 2011, PAYE and SDL starting from January 2009 to November 2012 and Rental and Stamp Duty from 2009 to 2012.

According to TRA, the preliminary audit of all categories of taxes outlined above are yet to be paid by the company which was registered as an airline known as Fly540 Tanzania on May 29th in 2008.

The TRA document further states that the audit was intended to induce voluntary compliance through effective and efficient tax audit programme and to utilize audit opportunities to educate, foster customer care hence build trust, confidence and improved compliance to tax payer, FastJet.

Fastjet is incorporated in England and Wales under the companies Act 1985 with its registered office at Gatwick Airport in the UK. FastJet’s Africa Operations, previously Lonrho Aviation (BVI) Ltd, have been licensing the Fly540 brand from Five Forty Aviation since 2008.

FastJet’s Africa Operations now fly three Fly540 branded planes in Angola and two in Ghana. It flew two planes using the Fly540 brand in Tanzania until November 2012 when the new company took over its operations in the country.

i was confused nilijua ni mr. Traveller aka fastjet anadaiwa duh!
 
Back
Top Bottom