Asante mimi nyumbu,lakini bado tririon mbili kufikia tririon ngapi?Lengo la mapato ...Nyumbu ni ngumu kuelewa lakini nitawaelewesha
Ulitaka zigawanywe kama pipi?Hizo pesa zimekisaidia nini wew....ushauliza kwanini kitaa watu wanalia njaa huku magufuli anatangaza kukusanya mabilioni ya pesaa! #HapaWIziTu
Sina tatizo na mafanikio ya awamu hii ya JPM.Wale wasiopenda kusikia mafanikio ya Serikali ya #Hapakazitu waipate taarifa hii.
TRA imebakiza miezi chini ya miwili ili kumalizia mwaka wa fedha...na imebakiza Tsh Trilioni mbili na point chache ili kufikia lengo.
Wale wasiopenda kusikia mafanikio ya Serikali ya #Hapakazitu waipate taarifa hii.
TRA imebakiza miezi chini ya miwili ili kumalizia mwaka wa fedha...na imebakiza Tsh Trilioni mbili na point chache ili kufikia lengo.
Kweli lengo linakaribia !!!!
Hii financial year ni ya Kikwetekama lengo lilikuwa hizo trilion 12 sasa ongezeko la makusanyo linalozungumzwa limetoka wapi? Worse ni kwamba bajeti ya serikali ya mwaka huu ambapo imebakiza siku 45 ilikuwa ya hovyo sana maana hakuna wizara iliyopata ziadi ya asilimia 40% na nyingine hazikupata kabisa. Halafu zaidi ya yoote mwaka kesho tumeambiwa ni tril 32 na tunajitegemea wakati hata sukari hakuna. nchi ya kusadikika hii
The pink and the Brainer!Lengo la nini,kujenga nyumba?
Tusubiri juni tuine kama lengo litavukwa au la...THINK POSITIVELY!kama lengo lilikuwa hizo trilion 12 sasa ongezeko la makusanyo linalozungumzwa limetoka wapi? Worse ni kwamba bajeti ya serikali ya mwaka huu ambapo imebakiza siku 45 ilikuwa ya hovyo sana maana hakuna wizara iliyopata ziadi ya asilimia 40% na nyingine hazikupata kabisa. Halafu zaidi ya yoote mwaka kesho tumeambiwa ni tril 32 na tunajitegemea wakati hata sukari hakuna. nchi ya kusadikika hii