TRA acheni ukiritimba kwenye kutoa leseni za udereva

ngamani

Senior Member
Joined
Nov 16, 2017
Posts
159
Reaction score
85
Leseni yangu ya udereva iliisha hivyo nikaenda kuirenew karibu mwezi mmoja umeshapita. Pale TRA Samora kila nikienda wananiambia material hakuna lakini naona wengine wanavipata kama kawaida.

Nikamuuliza dogo mmoja akaniambia mpaka nitoe chochote nami nimegoma sababu sioni mantiki ya kutoa rushwa kabisa.

Naombeni ushauri nitumie njia gani nipate leseni yangu kwani nimechoka kutembea na risiti zao tu.
 
mkuu hakuna rushwa ni hawana materials kweli hata ukitoaa pesa utaliwa tuu ukiuliza hii ishu ni kama nchi nzima,
 
Leseni yangu ya udereva iliisha hivyo nikaenda kuirenew karibu mwezi mmoja umeshapita. Pale TRA Samora kila nikienda wananiambia material hakuna lakini naona wengine wanavipata kama kawaida.

Nikamuuliza dogo mmoja akaniambia mpaka nitoe chochote nami nimegoma sababu sioni mantiki ya kutoa rushwa kabisa.

Naombeni ushauri nitumie njia gani nipate leseni yangu kwani nimechoka kutembea na risiti zao tu.
We subiria material yapatikane acha woga kwani umezuiliwa kuendesha gari sikuna ile provisional lesseni wanakupa ifanyie lamination tumia hiyo acha kugombana na Taasisi
 
sina provisional license ..nina risiti peke yake.....je ninatakiwa nikaombe provisional license?
 
Mimi ni mwezi na nusu sasa, jana nimeenda wananiambia labda niende tena mwisho wa mwezi. Daaah, sijajua tatizo lipo wapi kuhusu material ya leseni ?
 
We subiria material yapatikane acha woga kwani umezuiliwa kuendesha gari sikuna ile provisional lesseni wanakupa ifanyie lamination tumia hiyo acha kugombana na Taasisi
Pale samora wamesema hawatoi kwa sasa, ila kuna mtu nilimuuliza akaniambia ni mpaka utoe kidogo KIWI.
Lakini pale TRA Tazara walinipa for free, ila nayenyewe imeisha muda wake
 
Ni zaidi ya mwaka sasa, serikali inayojivunia mijidege, mijitreni ya umeme, mijibarabara ya juu, mijibwawa ya umeme nk imeshindwa kununua karatasi ya leseni. Aibu sio baba kuwa Na gari, aibu ni baba mwenye gari kushindwa familia yake.
Serikali hii inatia aibuuuuuuuuuu.
Mshana Jr, tengeneza ndumba serikali ipone
 
Leseni yangu ya udereva iliisha hivyo nikaenda kuirenew karibu mwezi mmoja umeshapita. Pale TRA Samora kila nikienda wananiambia material hakuna lakini naona wengine wanavipata kama kawaida.

Nikamuuliza dogo mmoja akaniambia mpaka nitoe chochote nami nimegoma sababu sioni mantiki ya kutoa rushwa kabisa.

Naombeni ushauri nitumie njia gani nipate leseni yangu kwani nimechoka kutembea na risiti zao tu.
Mzee me ya kwangu tangu tar 02/10/2017 nimekuja kuipata mwezi wa6 mwaka huu
 
Naombeni ushauri nitumie njia gani nipate leseni yangu kwani nimechoka kutembea na risiti zao tu.
Pole mkuu. Ni kweli material yamekwisha maana hata mimi nimehonga ku upgrade leseni yangu lakini nimeambiwa mpaka baada ya mwezi.
By the way, leseni sio hicho kikadi. Leseni tayari unayo kwenye systema na hata ukiendesha gari hautakuwa hatiani. Cha muhimu tembea na ile copy ya malipo uliyofanya TRA...
 
sina provisional license ..nina risiti peke yake.....je ninatakiwa nikaombe provisional license?
Lazima ulipewa karatasi ya TRA inayoonyesha madaraja ya wewe kuendesha ambayo ndiyo yatakayoonekana kwenye hiyo kadi utakayopewa na ambayo ndiyo wanasema material yameisha
 
Mi toka mwaka Jana mpaka Leo nikienda naambiwa mashine ya ku print mbovu mara kadi zimeisha mpaka nmejichokea na si renew tena
 
Nishasahau hata kufuatilia mwenzio na sina habari tena maana nimezungushwa sana bado natembea na risiti tu.
 
Hii bahati I wish ningeipata mimi
Yaani ningedrive Bila leseni mwaka mzima Na hakuna mtu angenigusa
 
Leseni yangu ya udereva iliisha hivyo nikaenda kuirenew karibu mwezi mmoja umeshapita. Pale TRA Samora kila nikienda wananiambia material hakuna lakini naona wengine wanavipata kama kawaida.

Nikamuuliza dogo mmoja akaniambia mpaka nitoe chochote nami nimegoma sababu sioni mantiki ya kutoa rushwa kabisa.

Naombeni ushauri nitumie njia gani nipate leseni yangu kwani nimechoka kutembea na risiti zao tu.
Hakuna raia majinga, mataahira, mapuuzi kama Matanganyika. Yani umeombwa chochote unakuja kulialia JF , si uende kumchukulia hicho chochote TAKUKURU.

Hivi watanganyika huu ujinga utafutika lini vichwani mwetu???

Aaaaaaggggh
 
Leseni yangu ya udereva iliisha hivyo nikaenda kuirenew karibu mwezi mmoja umeshapita. Pale TRA Samora kila nikienda wananiambia material hakuna lakini naona wengine wanavipata kama kawaida.

Nikamuuliza dogo mmoja akaniambia mpaka nitoe chochote nami nimegoma sababu sioni mantiki ya kutoa rushwa kabisa.

Naombeni ushauri nitumie njia gani nipate leseni yangu kwani nimechoka kutembea na risiti zao tu.
endelea kugoma kutoa chochote ili uendelee kuchoma mahindi hapo kijiweni
 
Lazima ulipewa karatasi ya TRA inayoonyesha madaraja ya wewe kuendesha ambayo ndiyo yatakayoonekana kwenye hiyo kadi utakayopewa na ambayo ndiyo wanasema material yameisha
Kusubiri ni lazima na muhimu, kwani inawezekanaje material ikafichwa kwazaidi ya mwezi kwaajili ya kutafuta rushwa?
 
Back
Top Bottom