TRA acheni ukiritimba kwenye kutoa leseni za udereva

TRA acheni ukiritimba kwenye kutoa leseni za udereva

Kweli TRA wanapiga rushwa kinoma yaaani Kupata Reseni lazima upigwe kibomu cha maana na rudia CHA MAANA
Tuoneeni huruma maisha yenyewe magumu
Kwan msharaha c mnapata
[HASHTAG]#Rushwa[/HASHTAG] Tra Imeeota Mimba
[HASHTAG]#Muda[/HASHTAG] sasa wa kutumbuliwa
 
Hakuna raia majinga, mataahira, mapuuzi kama Matanganyika. Yani umeombwa chochote unakuja kulialia JF , si uende kumchukulia hicho chochote TAKUKURU.

Hivi watanganyika huu ujinga utafutika lini vichwani mwetu???

Aaaaaaggggh
akipata huko takukuru watamwambia arushe kwenye simu halafu kila kitu wanampa MTU kati utawapata wapi
 
Leseni yangu ya udereva iliisha hivyo nikaenda kuirenew karibu mwezi mmoja umeshapita. Pale TRA Samora kila nikienda wananiambia material hakuna lakini naona wengine wanavipata kama kawaida.

Nikamuuliza dogo mmoja akaniambia mpaka nitoe chochote nami nimegoma sababu sioni mantiki ya kutoa rushwa kabisa.

Naombeni ushauri nitumie njia gani nipate leseni yangu kwani nimechoka kutembea na risiti zao tu.

Unajua kama tunataka nchi iendelee inabidi tuwasaidie watu kufanya kazi. Kuwapa license bila mambo ya rushwa na mambo mengine ya kijingajinga.

Mtu kama wewe ndio mlipa kodi, ndio unaiwezesha serikali kutimiza malengo yake.

Kwahiyo Serikali iwe na mikakati makini kuwasaidia wananchi wake kama kupata leseni,kulipa kodi haraka bila usumbufu, kupunguza rushwa, kuwasaidia na kuwawezesha wanyonge, wasiwe wanyonge tena.

Tuwasaidie walalahoi wasilale hoi sana kila siku.

Walipa kodi waweze kulipa kodi haraka, ndugu zetu, watu wetu, Wantazania wenzentu waweze kusaidia familia zao, jamii zao, taifa lao.

Tutafakari, tuweke malengo, kanuni na sheria zitakaowasaidia wananchi wetu, wengi wetu.

Sheria, kanuni, masharti, vitu gani vinaweza kukomboa taifa zima, sio tu kunufaisha maslahi yetu binafsi, familia zetu, our narrow interests, siasa zetu.

Hamna nchi iliyoendelea inakubaliana na ujinga kama huu wa kuangalia maslahi yetu binafsi, madogo kama iongeefamilia, ukoo, kabila letu(narrow interests.)

TRA ikiwa makini, ikifanya kazi kama nchi ziliondelea, kusimamia haki ya wananchi wake, nchi itasimama haraka sana.

Tuache mambo ya kukomoana, rushwa, na ujinga ujinga, mambo ya kitoto.

We should grow up.
 
Hakuna raia majinga, mataahira, mapuuzi kama Matanganyika. Yani umeombwa chochote unakuja kulialia JF , si uende kumchukulia hicho chochote TAKUKURU.

Hivi watanganyika huu ujinga utafutika lini vichwani mwetu???

Aaaaaaggggh

Wewe una imani nao hao watu?
Upimwe akili kwanza, unawakumbuka kuwa ndiyo hao waliosema Wameletewa taarifa na si ushahidi na kesi kufa mpaka leo. Sasa endelea kuwa mjinga
 
mkuu hakuna rushwa ni hawana materials kweli hata ukitoaa pesa utaliwa tuu ukiuliza hii ishu ni kama nchi nzima,
Cyo kweli, kuna jamaa yangu alienda hapo samora na 170,000 aliondoka na leseni siku hiyohiyo
 
Vipi wakuu mlio renew leseni zenu kipindi hiki kati ya mwezi wa 6 hadi sasa mmeshaanza kupewa leseni zenu maana mimi nazidi kupgwa karenda.
 
Vipi wakuu mlio renew leseni zenu kipindi hiki kati ya mwezi wa 6 hadi sasa mmeshaanza kupewa leseni zenu maana mimi nazidi kupgwa karenda.

Bado aisee!!
 
T
Leseni yangu ya udereva iliisha hivyo nikaenda kuirenew karibu mwezi mmoja umeshapita. Pale TRA Samora kila nikienda wananiambia material hakuna lakini naona wengine wanavipata kama kawaida.

Nikamuuliza dogo mmoja akaniambia mpaka nitoe chochote nami nimegoma sababu sioni mantiki ya kutoa rushwa kabisa.

Naombeni ushauri nitumie njia gani nipate leseni yangu kwani nimechoka kutembea na risiti zao tu.
Toa rushwa kama ulivyoelekezwa ama sivyo endelea kuhaha na risiti yako
 
Duuh labda ngoja nijaribu kutumia mtu mwingine maana naona mimi zimeshakua chenga nyingi lakini wengine naona wanapewa na nikiuliza naambiwa hao walinitangulia ku renew
Kila la heri ata wahenga walsema mkono mtupu haulambwi
 
Leseni yangu ya udereva iliisha hivyo nikaenda kuirenew karibu mwezi mmoja umeshapita. Pale TRA Samora kila nikienda wananiambia material hakuna lakini naona wengine wanavipata kama kawaida.

Nikamuuliza dogo mmoja akaniambia mpaka nitoe chochote nami nimegoma sababu sioni mantiki ya kutoa rushwa kabisa.

Naombeni ushauri nitumie njia gani nipate leseni yangu kwani nimechoka kutembea na risiti zao tu.
ishu ni kwamba wako kwenye transfer ya mdhabuni wa kutengeneza leseni kutoka kwa mu israel kwenda kwa muingereza...sijajua mkataba wa huyo mpya unaanza lini na hii ndo sababu yakutopata lesen..na sio kweli kwamba wengine wanapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom