Kanye2016
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 3,019
- 3,192
Habarini Wakuu!!!!!!
Kama mlivyoona kwenye mitandao ya kijamii. Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania wametoa fursa za ajira kwa vijana wa kitanzania.
Fursa ni nyingi kweli na wamegusa fani nyingi tu. Jumla ya nafasi walizotangaza ni 1596.
Kwa hiyo Wakuu kama kuna mtu ana link ya Group ambao wana solve maswali kwa ajili ya kujiandaa na Interview hii naomba uweke link hapo chini ili watu tujumuike wote.
Ushirikiano ni muhimu watu wote watoboe. Cha muhimu kufika kwenye Oral.
Na kama una hints au topic au maswali unajua yataulizwa, tusaidie kuweka chini hapo kwenye comment ili wengi wafaidike.
Shukran.
www.jamiiforums.com

Interview TRA 2025 (Walioitwa kwenye Usaili 29 na 30)
Salaam!!!! Kwa wale walioomba nafasi mbalimbali zilizotolewa na TRA, Majina yametoka Kwa ajili ya Interview. List ya Majina ipo kwenye PDF hapo Chini. (Mb 11.4) Shukran. Pia unaweza pitia Uzi huu hapa Chini Kwa link ya Magroup ya kujisomea...