SyntaxReaper
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 364
- 293
Habari wakuu,
Jana asubuhi nmetumiwa hela kwa mtandao tajwa ili nkafanye malipo kadhaa, kasheshe kwenda kutoa pesa husika napata ujumbe "Transaction not allowed, you will receive short message".
Nikiulizia salio pia inagoma, nikipiga customer service naambiwa wahudumu wetu wanahudumia wateja wengine, kifupi hakuna msaada, na hiyo hali inaendelea mpaka sasa.
Kama kuna hitilafu kwanini msiwataarifu wateja wenu mapema?
Wanafeli sana.