hakikisha wakati unavuka barabara kuna mtu anakushika mkonohapa nyumbu huwezi kuwakuta
nadhan ww nyumbu ndo unahitaji usimamizi wa karibu unapovuka mito huko kijijin kwenuhakikisha wakati unavuka barabara kuna mtu anakushika mkono
Kwani lazima iwe ya Dar es Salaam tu kwann isitumike ya Mtwara yenye kina kirefu asilia badala ya kupoteza fedha kuchimba chimba kila wakati? Au Mtwara sio Tanzania.?
Ngoja tusubiri wataalamu wenzenu wa uchumi waje tujifunze.Hizo fedha zingetumika kujenga zahanati vijijini,Umeme vijijini,kujenga Barabara kuunganisha mkoa kwa mkoa,wilaya kwa wilaya,vijiji na vijiji,kusambaza maji mijini na vijijini,kuboresha maslahi ya walimu,askari wetu,na watumishi kwa ujumla ili kuongeza ari ya kufanya kazi tofauti na sasa ambapo watumishi wanalazimika tu bila kujali ufanisi.Ndege na reli ni muhimu lakini hazigusi wanyonge wa chini ambao mh Rais anajipambanua kuwatetea ni hayo tu
Wewe ni kundi la nyumbu?Kwani lazima iwe ya Dar es Salaam tu kwann isitumike ya Mtwara yenye kina kirefu asilia badala ya kupoteza fedha kuchimba chimba kila wakati? Au Mtwara sio Tanzania.?
Nyumbu utamjua tuuHizo fedha zingetumika kujenga zahanati vijijini,Umeme vijijini,kujenga Barabara kuunganisha mkoa kwa mkoa,wilaya kwa wilaya,vijiji na vijiji,kusambaza maji mijini na vijijini,kuboresha maslahi ya walimu,askari wetu,na watumishi kwa ujumla ili kuongeza ari ya kufanya kazi tofauti na sasa ambapo watumishi wanalazimika tu bila kujali ufanisi.Ndege na reli ni muhimu lakini hazigusi wanyonge wa chini ambao mh Rais anajipambanua kuwatetea ni hayo tu
Mm ni Mtanzania halali wa kuzaliwa Mwenye mapenzi makubwa kwa nchi yangu nisie na chama chochote cha kisiasa,ninae tumia haki yangu ya msingi ya kikatiba ibara ya 18 ya kuwa na uhuru wa kutoa mawazo na maoni yangu bila kuvunja sheria,ninaepiga kura kuangalia uwezo wa mtu na si itikadi za chama,,,SIJUI WW MWENZANGU NI NANI?? na umetumia kigezo or kifungu kipi kisheria kuniita nyumbu??nikitumia kifungu cha 18 cha katiba kukuita ww ni MLEMAVU WA AKILI nitakua nimekosea??kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili mlemavu ni mtu mwenye upungufu or mwiliniWewe ni kundi la nyumbu?
Hahahhaha nyumbu msimu huu wamehama kutoka serengeti na kwenda maasai mara ya kenya.hapa nyumbu huwezi kuwakuta
Wanatamani hizo meli zizame hapo bandarini wapate la kusema.Habari mbaya hii kwa watu walee
Nyumbu anapotafuta malisho yake wakati wa kutimiza haja zake na kupata haki yake kama wewe unavyo fanya, ikitokea mwenzake kaliwa na simba au katumbukia mtoni na wenzie humfuta bila kujali nn kimempataMm ni Mtanzania halali wa kuzaliwa Mwenye mapenzi makubwa kwa nchi yangu nisie na chama chochote cha kisiasa,ninae tumia haki yangu ya msingi ya kikatiba ibara ya 18 ya kuwa na uhuru wa kutoa mawazo na maoni yangu bila kuvunja sheria,ninaepiga kura kuangalia uwezo wa mtu na si itikadi za chama,,,SIJUI WW MWENZANGU NI NANI?? na umetumia kigezo or kifungu kipi kisheria kuniita nyumbu??nikitumia kifungu cha 18 cha katiba kukuita ww ni MLEMAVU WA AKILI nitakua nimekosea??kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili mlemavu ni mtu mwenye upungufu or mwilini
Ina maana watasumbua huko kwa majirani piaHahahhaha nyumbu msimu huu wamehama kutoka serengeti na kwenda maasai mara ya kenya.
Tena huyu atakua Nyumbu aliyekomaa akili kabisaBandari inapanuliwa wakati meli na mizigo ya kupita hapo yamepungu, wanapanua ili iweje?
Priority ndo serikali inashindwa kila siku.
Hawajui kitu cha kufanya chenye tija kwa wakati mwafaka.
hazitoshiHizo fedha zingetumika kujenga zahanati vijijini,Umeme vijijini,kujenga Barabara kuunganisha mkoa kwa mkoa,wilaya kwa wilaya,vijiji na vijiji,kusambaza maji mijini na vijijini,kuboresha maslahi ya walimu,askari wetu,na watumishi kwa ujumla ili kuongeza ari ya kufanya kazi tofauti na sasa ambapo watumishi wanalazimika tu bila kujali ufanisi.Ndege na reli ni muhimu lakini hazigusi wanyonge wa chini ambao mh Rais anajipambanua kuwatetea ni hayo tu