TPA yapokea meli tano zenye vifaa kwa ajili ya upanuzi wa Bandari ya Dar

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imepokea meli tano zenye vifaa kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa geti jipya kwa ajili ya kushusha magari na upanuzi wa kina cha Bandari ya Dar es Salaam (Dar es Salaam Maritime Gateway Project) unatarajiwa kuanza Rasmi Novemba mwaka huu

Mradi huo utagahrimu shilingi bilioni 336

Kwani lazima iwe ya Dar es Salaam tu kwann isitumike ya Mtwara yenye kina kirefu asilia badala ya kupoteza fedha kuchimba chimba kila wakati? Au Mtwara sio Tanzania.?
 
Hizo fedha zingetumika kujenga zahanati vijijini,Umeme vijijini,kujenga Barabara kuunganisha mkoa kwa mkoa,wilaya kwa wilaya,vijiji na vijiji,kusambaza maji mijini na vijijini,kuboresha maslahi ya walimu,askari wetu,na watumishi kwa ujumla ili kuongeza ari ya kufanya kazi tofauti na sasa ambapo watumishi wanalazimika tu bila kujali ufanisi.Ndege na reli ni muhimu lakini hazigusi wanyonge wa chini ambao mh Rais anajipambanua kuwatetea ni hayo tu
 
Ngoja tusubiri wataalamu wenzenu wa uchumi waje tujifunze.
 
Hizo fedha zingetumika kujenga zahanati vijijini,Umeme vijijini,kujenga Barabara kuunganisha mkoa kwa mkoa,wilaya kwa wilaya,vijiji na vijiji,kusambaza maji mijini na vijijini,kuboresha maslahi ya walimu,askari wetu,na watumishi kwa ujumla ili kuongeza ari ya kufanya kazi tofauti na sasa ambapo watumishi wanalazimika tu bila kujali ufanisi.Ndege na reli ni muhimu lakini hazigusi wanyonge wa chini ambao mh Rais anajipambanua kuwatetea ni hayo tu
Nyumbu utamjua tuu
 
Bandari inapanuliwa wakati meli na mizigo ya kupita hapo yamepungua, wanapanua ili iweje?

Priority ndo serikali inashindwa kila siku.

Hawajui kitu cha kufanya chenye tija kwa wakati mwafaka.
 
Wewe ni kundi la nyumbu?
Mm ni Mtanzania halali wa kuzaliwa Mwenye mapenzi makubwa kwa nchi yangu nisie na chama chochote cha kisiasa,ninae tumia haki yangu ya msingi ya kikatiba ibara ya 18 ya kuwa na uhuru wa kutoa mawazo na maoni yangu bila kuvunja sheria,ninaepiga kura kuangalia uwezo wa mtu na si itikadi za chama,,,SIJUI WW MWENZANGU NI NANI?? na umetumia kigezo or kifungu kipi kisheria kuniita nyumbu??nikitumia kifungu cha 18 cha katiba kukuita ww ni MLEMAVU WA AKILI nitakua nimekosea??kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili mlemavu ni mtu mwenye upungufu or mwilini
 
Nyumbu anapotafuta malisho yake wakati wa kutimiza haja zake na kupata haki yake kama wewe unavyo fanya, ikitokea mwenzake kaliwa na simba au katumbukia mtoni na wenzie humfuta bila kujali nn kimempata
 
Hizo fedha zingetumika kujenga zahanati vijijini,Umeme vijijini,kujenga Barabara kuunganisha mkoa kwa mkoa,wilaya kwa wilaya,vijiji na vijiji,kusambaza maji mijini na vijijini,kuboresha maslahi ya walimu,askari wetu,na watumishi kwa ujumla ili kuongeza ari ya kufanya kazi tofauti na sasa ambapo watumishi wanalazimika tu bila kujali ufanisi.Ndege na reli ni muhimu lakini hazigusi wanyonge wa chini ambao mh Rais anajipambanua kuwatetea ni hayo tu
hazitoshi
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom