sandpiper
JF-Expert Member
- Jul 27, 2018
- 202
- 179
Kuna watu wanashida kubwa sana , hawajui mipaka ya uzalendo , what to do and when to do something. Mazembe wenyewe wanawashangaa , Hao wakienda Congo mnafikiri kuna mkongoman atashangilia Lions !! Sijui nani ametuloga tu . Tunatia huruma sana. Nilienda Sheikh Amri Abeid pale Arusha , kunagalia mechi ya Yanga na Oljoro FC , Uwanja mzima umevaa jezi za Njano , Nilikuwa na mgeni akaniuliza which one is the Home team , nikajibu those with Blue akashangaa sana . Sasa Oljoro siku nyingi imeshuka Daraja Arusha hatuna hata team kwenye Ligi kuu !!!