Tp mazembe na ndege serikali ccm nani zaidi??

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,947
253
Timu ya mpira wa miguu ya Nchi ya kidemocrasia ya Congo (DRC) imesubutu kumili ndege ya pili ili waweze kuweka mambo yao sawa....

Timu hii ina nini kikubwa kuliko Serikali ya CCM iliyoua shirika letu la ndege??? Je mpaka sasa serikali haioni aibu kuzidiwa kete na timu ya mpira wa miguu??

Mimi hapa ndipo ninaposema Serikali ya CCM ichape mwendo..hawana jipya kwa watanzania...wanaopinga hili kusema kweli Wana JF mtasema

wenyewe hisia zao...

Ninawasilisha....
 
Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
12,739
4,165
Mkuu, kwanini unafananisha nyumba na kuku!, jembe na memory card?! etc................................. Mimi nilidhani kablba ya kufananisha TOUT POIS Mazembe na chama cha siasa ungefananisha kwanza na vilabu vyetu vya mpira. Unajua kuwa hapa nchini tuna vilabu vya mpira kama yanga ambavyo vina umri mkubwa kuliko CCM lakini hawana hata ofisi wala gari?, - charity begins @ home.
 
Bushbaby

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,590
434

alichokizungumza ni kuuliza Club TP Mazembe na Serikali ya Tanzania ni ipi yenye hela?? yaani nchi haina shirika la ndege!!! ni aibu sana halafu vilaza vya TBC1 uchambuzi wa magazeti waipamba hii habari bila kujua wanaidhalilisha serikali !!
 
Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,442
2,466
nchi ishauzwa,next year fukwe zote atapewa mwarabu akifika 2015 mbuga zote zitakuwa nazo zishauzwa
 
Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,650
585
Timu ya mpira wa miguu ya Nchi ya kidemocrasia ya Congo (DRC) imesubutu kumili ndege ya pili ili waweze kuweka mambo yao sawa....Timu hii ina nini kikubwa kuliko Serikali ya CCM iliyoua shirika letu la ndege??? .

Mkuu, kwani DRC kama nchi wanamiliki shirika gani la ndege? Hili swali lako kamuulize rais Kabila.......
 
MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,947
253
Mkuu, kwani DRC kama nchi wanamiliki shirika gani la ndege? Hili swali lako kamuulize rais Kabila.......

Crucifix...hapa ninadhani wewe huelewi nini maana ya jamii f..nimeongelea Timu ya Mpira wa miguu....inamiliki ndege 2.. Serikali inayoongozwa na rais wako Gamba kamini imeshindwa na timu ya congo..I didn't want to talk about Drc goverment..kama ningekuwa nataka hilo nisingeweka drop yangu hapa..So i presented my point where all members from JF could give out their idea..So you just wake up and you didn't wht beats you should play..You school teacher was almost hard gamba...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom