TP Mazembe disqualified from African Champions League

Wana JF mi nijuavyo kama simba watatolewa round hii watapita kwenda round ya mwisho kombe la shirikisho je hii ni kweli?
 
Hapa hakuna kulaumiana suala ni kujipanga tu,tuna wachezaji kama watano walikuwa kwenye kambi ya timu ya taifa kaseja,maftar,nyoso,haruna shamte na banka so wamefanya mazoezi,wengine wapo taifa cup kelvin yondan,mgosi,na wengine wengi wapo taifa cup,jerry santos na okwi wapo makwao wafanye waitwe tujipange tukacheze hakuna njinsi na wakuna mtanzania atakae laumu hata tukufungwa cos situation inajulikana
 
Hizo nchi za north Africa huwa hazitaki kuzidiwa, hebu jiulize Enyimba iko wapi baada ya kutwaa CAF Champion's league back to back? Waliivuruga kwa kununua wachezaji wao kijanja na kuwamaliza kiwango. Hii Mazembe iliwashinda kwa vile kwao pesa si tatizo. Wakaja na mbinu nyingine. Mliotuwekea source mko sahihi kwa mujibu wa website ya CAF, lakini hiyo taarifa ya CAF ni kutaka tu kuhalalisha uharamu, baada ya rufaa ya Simba kuwekwa kapuni mbinu mbadala ilfuata ambayo ni Esperance ya Tunisa kudai Bokungu ni mchezaji wao halali(pengine kuna ukweli kwenye hilo), kwa hiyo wakaja na hilo la kuchezeshwa mechi na Simba isivyo halali.

Sasa mlitegemea statement ya CAF itaje Esperance ndo wameshinda rufaa! Wanajaribu kujiepusha na scandal.
 
Tuna mawazo sawa mkuu katika hili
 
ue des Champions 2011 :: Dossier
14.05.2011 : Ligue des Champions
La CAF disqualifie le TP Mazembe !

La Confédération Africaine de Football, par le biais de sa Commission d’Organisation des Compétitions, vient de porter un coup très grave au TP Mazembe. En effet, lors de sa réunion d’hier au Caire, à la suite d’une plainte du FC SIMBA de Tanzanie, elle a statué sur le cas du joueur Janvier BESALA BOKUNGU et a pris la décision suivante : « En application du Chapitre VIII (fraude) des articles 24 et 26 (qualification des joueurs) et de l’article 29 des règlements de la Ligue des Champions, la Commission décide de disqualifier le TP Mazembe. Son remplaçant sera connu à l’issue d’un match de barrage entre le FC SIMBA et le WAC de Casablanca, à disputer le week-end prochain sur terrain neutre. »

Le club fait appel

Il est encore prématuré de faire des commentaires sur une affaire réellement incroyable. Elle offre, en tous cas, une réponse formelle à tous ceux qui suspectaient la CAF de protéger le TP Mazembe …

Dans un premier temps, la direction du club vous fait savoir qu’elle juge cette sanction totalement inacceptable. Et que par conséquent Mazembe allait immédiatement faire appel de cette décision. Le manager général Frédéric KITENGIE, présent au Caire, étudiait toutes les possibilités de la procédure pour faire valoir les droits du club et sa bonne foi.

Que les supporters Baliangwenas se rassurent : Mazembe ne se laissera pas faire et utilisera toutes les voies légales pour sa défense. Et le dossier est loin d’être clos.

tpmazembe.com :: Site Officiel du TP Mazembe

Kama haujaelewa ni PM
 
tp mazembe wameturuhusu tuwatumie wachezaji wao wawili samatta na ochan..hii ni habari njema kwa wana simba
 
walikuwa hawajapewa transfers ni mikataba ya awali ya kukubaliana kuwauzia wachezaji ndio ilikuwa tayari
 
Wamewaruhusu wakati wanakata rufaa

kwa mjibu wa rage amesibitisha kuwa raisi wa tp mazembe amekubali tutumie wachezaji wao mpaka hapo michuano ya caf iishe au tutakapo tolewa kwani hata itc walikuwa hawajapewa..
 
Wana JF mi nijuavyo kama simba watatolewa round hii watapita kwenda round ya mwisho kombe la shirikisho je hii ni kweli?

Kikawaida kuna kikanuni cha kusema hivi, lakin sidhani kama itatumika hapa ktk suala ambalo inachezwa mechi 1 tu
Wydad Casablanca baada ya kutolewa na TP Mazembe walifuzu kwenda Kombe la Shirikisho???
Ngoja nihakiki, lakin naona kwa asilimia kubwa atakaetolewa anarudi home
 
ue des Champions 2011 :: Dossier
14.05.2011 : Ligue des Champions
La CAF disqualifie le TP Mazembe !

La Confédération Africaine de Football, par le biais de sa Commission d'Organisation des Compétitions, vient de porter un coup très grave au TP Mazembe. En effet, lors de sa réunion d'hier au Caire, à la suite d'une plainte du FC SIMBA de Tanzanie, elle a statué sur le cas du joueur Janvier BESALA BOKUNGU et a pris la décision suivante : « En application du Chapitre VIII (fraude) des articles 24 et 26 (qualification des joueurs) et de l'article 29 des règlements de la Ligue des Champions, la Commission décide de disqualifier le TP Mazembe. Son remplaçant sera connu à l'issue d'un match de barrage entre le FC SIMBA et le WAC de Casablanca, à disputer le week-end prochain sur terrain neutre. »

Le club fait appel

Il est encore prématuré de faire des commentaires sur une affaire réellement incroyable. Elle offre, en tous cas, une réponse formelle à tous ceux qui suspectaient la CAF de protéger le TP Mazembe …

Dans un premier temps, la direction du club vous fait savoir qu'elle juge cette sanction totalement inacceptable. Et que par conséquent Mazembe allait immédiatement faire appel de cette décision. Le manager général Frédéric KITENGIE, présent au Caire, étudiait toutes les possibilités de la procédure pour faire valoir les droits du club et sa bonne foi.

Que les supporters Baliangwenas se rassurent : Mazembe ne se laissera pas faire et utilisera toutes les voies légales pour sa défense. Et le dossier est loin d'être clos.

tpmazembe.com :: Site Officiel du TP Mazembe

Kama haujaelewa ni PM

Hapa unathibitisha we mwenyewe wengi wetu hatuelewi lugha zaidi ya Kiswahili na Kiingereza
Si busara kuomba PM kwa vitu vidogo kama hivi
Weka tasfiri hapa kila mtu aelewe, hapa tupo kuhabarishana zaidi na sio kuwekeana lugha tusizozielewa.
Jirekebishe ndugu
 
Hizo nchi za north Africa huwa hazitaki kuzidiwa, hebu jiulize Enyimba iko wapi baada ya kutwaa CAF Champion's league back to back? Waliivuruga kwa kununua wachezaji wao kijanja na kuwamaliza kiwango. Hii Mazembe iliwashinda kwa vile kwao pesa si tatizo. Wakaja na mbinu nyingine. Mliotuwekea source mko sahihi kwa mujibu wa website ya CAF, lakini hiyo taarifa ya CAF ni kutaka tu kuhalalisha uharamu, baada ya rufaa ya Simba kuwekwa kapuni mbinu mbadala ilfuata ambayo ni Esperance ya Tunisa kudai Bokungu ni mchezaji wao halali(pengine kuna ukweli kwenye hilo), kwa hiyo wakaja na hilo la kuchezeshwa mechi na Simba isivyo halali.

Sasa mlitegemea statement ya CAF itaje Esperance ndo wameshinda rufaa! Wanajaribu kujiepusha na scandal.

Tuko pamoja kwa hili,lakini pia walichelewa sana kutoa uamuzi kabla ya mechi na Wydad.Hii pia inaonyesha upuuzi mkubwa katika soka la Afrika,.CAF zaidi.Wenzetu EUFA hakuna ujinga kama huu.
 
Hapa hakuna kulaumiana suala ni kujipanga tu,tuna wachezaji kama watano walikuwa kwenye kambi ya timu ya taifa kaseja,maftar,nyoso,haruna shamte na banka so wamefanya mazoezi,wengine wapo taifa cup kelvin yondan,mgosi,na wengine wengi wapo taifa cup,jerry santos na okwi wapo makwao wafanye waitwe tujipange tukacheze hakuna njinsi na wakuna mtanzania atakae laumu hata tukufungwa cos situation inajulikana

Yaani mfungwe halafu msilaumiwe???? Nani kakuhakikishia???
Mkiambiwa mlipanga matokeo mtabisha????

Halafu nimeipenda kweli hiyo staili uliyopendekeza ya kukusanya wachezaji, yaani kama vile mpangaji anafukuzwa ghalfa . . . . au kama vile unaokota maembe yaliyodondoka wiki mbili nyuma ili ukayauze

Bila shaka hii ndio itakuwa nafasi ya mwisho kwa akina Mgosi, Yondani, Kaseja, Okwi n.k kula pesa za chap-chap bila kujali watachezaje uwanjani. Maana wameshatuhumiwa sana, wengine wamekatwa mishahara, sasa ndio wakati wa kuwaonyesha viongozi wa Simba nini maana ya wachezaji . . . . . safi sana. Mkapigwe goli 7 tu zinatosha mrudi bongo
 
Mkuu hapa lipo fundisho kubwa sana kwetu kwa matokeo yoyote yatakayopatikana, kila usajili tunaambiwa mchezaji amesaini mkataba lakini viongozi ndo wanakuwa wa kwanza kukiuka mikataba kwa kubase kwenye taarifa za kimajungu. Siombei itokee lakini naona kuna wachezaji ambao uongozi utapata shida sana kuwakabili ili wawe tayari kucheza hii mechi.
 
Doh, kweli fitna fil maasha al kun Arabia! Hili ni anguko kwa wapenzi wote wa soka Sub-Sahara, kwanini tunakubali uonevu huu wa kiarabu? Mimi ni mpenzi wa Simba, lakini hapa hapana, huku ni kugeuzwa mwanamke wa bar anayetumiwa kukidhi haja za mtu, halafu basi. Unless tuombe mechi mbili na sisi tupate fursa ya Kuifitini Wydad(kama tunaweza).
 
Huwezi kukataa kucheza sababu uamuzi upo hivyo, na ukitilia maanani kuwa Simba walikata rufaa. Mfano umeenda Nyrugusu kuchimba gold, ukachimba bila mafanikio na ukiwa umekata tamaa unataka kuondoka halafu unajikwaa na kuchimbua kipande cha gold utakiacha!!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom