TP Mazembe disqualified from African Champions League

Nimeshindwa hata kushangaa.

Hii kali . . .
Hapa kweli lazima ukose ujasiri wa kushangaa
Hivi ni kweli CAF walikaa wakaamua hivi au waarabu ndo wali-dominate ktk kikao wakapitisha upuuzi huu???
Hivi kweli mashabiki wa Simba wana cha kufurahia hapa kwa muda huu uamuzi ulivyoamuliwa????

Mi naona kuna ujanja hapa . . . .
Waarabu wamesoma alama za nyakati, wameona ngoja tucheze kwanza na TP Mazembe, then wakitolewa watarudi mezani.
Baada ya kuichapa Mazembe 1-0 mechi ya kwanza, wakajipa matumaini. Walivyochapwa 2-0 kule Lubumbashi wakaona KIMEOZA. Wakaamua kukomaa na meza. Then wakajua kwamba hata Simba sasa haijakaa sawa, imesambaratika hivyo wakipanga game ndani ya wiki wana uhakika wa kufuzu. Tena ichezwe game 1 tu kwenye neutral stadium . . . .

Mi sioni mantiki ya kucheza neutral stadium wakati kote Morocco na Tanzania hakuna tatizo, achilia mbali maamuzi haya kichaa ya kuitoa TP Mazembe

Habari ndo hiyo . . . .
Poleni Simba
 
Anfaal,

Simba hapa ndo naona washachemsha. Sijui kama wataruhusiwa kusajili kukabiliana na hali hii, anahitajika tajiri mmoja mzalendo kuipa Simba nguvu ifanye maajabu, fursa hii ni ya kipekee kwetu.

Kinachonisikitisha zaidi, kocha Phiri kishapisha, mpya hata timu hajaifahamu vema (kwa ninavyoona), timu zetu zinaendeshwa kisiasa sana!
Nawapongeza simba kwa hatua hii.
Nina mapenzi ya dhati kwa klabu hii ila sijawahi kuwa member wake. Kwa namna ilivyo sasa naamini wanaweza wasifike mbali kwani teamwork haitakuwa na nguvu kama awali. Ikumbukwe PHII alikaa na timu akaizoea na wakazoeana mpaka kufikia kiwango cha kuridhisha. Lakini kwa sababu ya upofu na ulevi wa madaraka waviongozi wa simba (miungu ya simba) leo simba haijuti kupoteza kombe la lii kuu na wala hwajutiii kumpoteza kocha ambaye alianza kuijenga timu ktk mfumo mzuri wa uchezaji.

Doa ambalo si rahisi kufutika ktk kumbukumbu ni pale Rage anapoidharau taalum ya msemaji wa klabu ambaye ni mwanahabari na kumfananisha na KARANI. hii ndiyo footbal ya Tanzania inavyoendeshwa na hao ndiyo viongozi ambao wanalitumia jukwaa la michezo kufanikisha dhamira zao kisiasa na kuleta hizo siasa kwenye taaluma ya soka.

TUTATAMBIANA HUMU NDANI KWA SOKA LAKINI HATUTAVUKA MIPAKA MPAKA KLABU MOJA KATI YA SIMBA AU YANGA IFE. Yaani iwe kama Pan Afrikan kisha zije timu kama tatu hivi mfano wa AZAM ndipo tutakuwa na la kusimulia barani Afrika.
 
Hii kali . . .
Hapa kweli lazima ukose ujasiri wa kushangaa
Hivi ni kweli CAF walikaa wakaamua hivi au waarabu ndo wali-dominate ktk kikao wakapitisha upuuzi huu???
Hivi kweli mashabiki wa Simba wana cha kufurahia hapa kwa muda huu uamuzi ulivyoamuliwa????
Mi naona kuna ujanja hapa . . . .
Waarabu wamesoma alama za nyakati, wameona ngoja tucheze kwanza na TP Mazembe, then wakitolewa watarudi mezani.
Baada ya kuichapa Mazembe 1-0 mechi ya kwanza, wakajipa matumaini. Walivyochapwa 2-0 kule Lubumbashi wakaona KIMEOZA. Wakaamua kukomaa na meza. Then wakajua kwamba hata Simba sasa haijakaa sawa, imesambaratika hivyo wakipanga game ndani ya wiki wana uhakika wa kufuzu. Tena ichezwe game 1 tu kwenye neutral stadium . . . .

Mi sioni mantiki ya kucheza neutral stadium wakati kote Morocco na Tanzania hakuna tatizo, achilia mbali maamuzi haya kichaa ya kuitoa TP Mazembe

Habari ndo hiyo . . . .
Poleni Simba

Mimi ni mshabiki wa simba na simba ikifungwa huwa nahuzunika sana, lakini uamuzi huu hata sijaufurahia kabisa, timu yetu kwa sasa hata haiweleki mara tunaambiwa Kaseja kaachwa, Mgosi na Yondani hawana nidhamu, Banka naye sijui wamempa adhabu wale wawili ndo Mazembe kawachukua, Kocha naye karudi kwao yaani vululu vululu, waarabu watatushushia kipigo hadi aibu ituelemee, mechi yenyewe moja, any way ngoja tusubiri tuone.
 
Nawapongeza simba kwa hatua hii.
Nina mapenzi ya dhati kwa klabu hii (Simba) ila sijawahi kuwa member wake. Kwa namna ilivyo sasa naamini wanaweza wasifike mbali kwani teamwork haitakuwa na nguvu kama awali. Ikumbukwe PHII alikaa na timu akaizoea na wakazoeana mpaka kufikia kiwango cha kuridhisha. Lakini kwa sababu ya upofu na ulevi wa madaraka waviongozi wa simba (miungu ya simba) leo simba haijuti kupoteza kombe la lii kuu na wala hwajutiii kumpoteza kocha ambaye alianza kuijenga timu ktk mfumo mzuri wa uchezaji.

Doa ambalo si rahisi kufutika ktk kumbukumbu ni pale Rage anapoidharau taalum ya msemaji wa klabu ambaye ni mwanahabari na kumfananisha na KARANI. hii ndiyo footbal ya Tanzania inavyoendeshwa na hao ndiyo viongozi ambao wanalitumia jukwaa la michezo kufanikisha dhamira zao kisiasa na kuleta hizo siasa kwenye taaluma ya soka.

TUTATAMBIANA HUMU NDANI KWA SOKA LAKINI HATUTAVUKA MIPAKA MPAKA KLABU MOJA KATI YA SIMBA AU YANGA IFE. Yaani iwe kama Pan Afrikan kisha zije timu kama tatu hivi mfano wa AZAM ndipo tutakuwa na la kusimulia barani Afrika.

Mkuu
Naona unachelea kiaina Yanga ndo itangulie kufa . . . he heh eheh
Haifi ng'oooooooo, mpaka itangulie kufa CCM kwanza
Labda ife Simba

Anyway
Kwa mtazamo wangu naona zife zote na wala si mojawapo kama zilivyokufa Go Mahia na AFC Leopards za Kenya
Au kama zinavyodidimia SC Villa na The Express za Uganda
Halafu zizaliwe Azam kama 3 hivi
Ila naona hizi klabu kufa ni ngumu kiasi tofauti na hizo za majirani zetu, maana zinagusa mpaka viongozi wetu wa siasa na nchi
Labda ianze kufa CCM ( ha ha ha ha ha )
 
Let me tell my words!!! First i want to dis agree with the initiator of the story. The fact that disqualification of mazembe is because of simba isnt true!!!. Simba had already sent their appeal which failed!!! The reason for disqualification of mazembe is out of appeal by morocan club raja of moroco.
 
Sure man, tangu JKJ awe mjasiliamali na kiwango nacho sijui kinatengeneza tangazo la Zantel?

Daaaah
Yaani Kaseja ana andamwa namna hii kama vile sio yule aliyedaka zile penati za Zamalek kule Cairo???
Sasa ndani ya wiki moja mtampata wapi wa kukaa golini??
Yaani kama Kaseja yumo humu JF na anasoma haya maneno yenu, hakya nani tena atafungisha makusudi siku ya mechi . . .
 
Let me tell my words!!! First i want to dis agree with the initiator of the story. The fact that disqualification of mazembe is because of simba isnt true!!!. Simba had already sent their appeal which failed!!! The reason for disqualification of mazembe is out of appeal by morocan club raja of moroco.

Mkuu
Tunashukuru kwa kupata "YOUR WORDS"
Lakin yanaonyesha hayapo makini
Hebu bofya CAF : Confederation of African Football upate uhondo zaidi halafu uhakiki "YOUR WORDS"
 
lion.jpg
 
Wanajamii wenzangu Amani iwe nanyi! Kuhusu suala la TP mazembe mie naona ni mbinu chafu tu za waarabu! Wameona hawawezi kuwafunga uwanjani wakatafuta ushindi wa mezani! Rais wa CAf Ana kashfa ya kupokea rushwa je kwa hili atashindwaje kupokea! Ndugu zangu Simba nawatakieni kila la heri muwafunge hao waarabu!
 
Nini nao hawa kutuharibia utamu wa mchezo? Kwani Simba ndio watafika wapi hata kama si TP Mazembe? Natamani sheria ingekuwa na option ya Simba walipwe fedha au wapewe nafuu nyingine lakikini wawaache TP Mazembe waendelee mchezo uchangamke!.
 
Miafrika ndivyo tulivyo,sidhani kama Simba watafanikiwa kuvuka.Samata,Ochan wameshauzwa Mgosi,Banka,Kaseja,Yondani hawaaminiki tena Okwi nae anauzwa.Phiri nae katimuliwa maandalizi ni wiki moja angalieni msije mkafungwa magoli mengi na hao waarabu
 
CAF CAF CAF mmeshemsha mngetakiwa kutoa maamuzi haya kablA ya mechi ya Mazembe na WDAD pia one game play-off ni condition ya kama nchi mojawapo haina usalama sasa iweje nchi ambazo ziko shwari zicheze mechi moja tena Sudan nchi ambayo ina machafuko? The vice veca is true soka la Africa bwana!!!?/;:
 
Hii kali . . .
Hapa kweli lazima ukose ujasiri wa kushangaa
Hivi ni kweli CAF walikaa wakaamua hivi au waarabu ndo wali-dominate ktk kikao wakapitisha upuuzi huu???
Hivi kweli mashabiki wa Simba wana cha kufurahia hapa kwa muda huu uamuzi ulivyoamuliwa????

Mi naona kuna ujanja hapa . . . .
Waarabu wamesoma alama za nyakati, wameona ngoja tucheze kwanza na TP Mazembe, then wakitolewa watarudi mezani.
Baada ya kuichapa Mazembe 1-0 mechi ya kwanza, wakajipa matumaini. Walivyochapwa 2-0 kule Lubumbashi wakaona KIMEOZA. Wakaamua kukomaa na meza. Then wakajua kwamba hata Simba sasa haijakaa sawa, imesambaratika hivyo wakipanga game ndani ya wiki wana uhakika wa kufuzu. Tena ichezwe game 1 tu kwenye neutral stadium . . . .

Mi sioni mantiki ya kucheza neutral stadium wakati kote Morocco na Tanzania hakuna tatizo, achilia mbali maamuzi haya kichaa ya kuitoa TP Mazembe

Habari ndo hiyo . . . .
Poleni Simba

Nasikitika jaribio la TP Mazembe kunyakua ubingwa mara tatu mfululizo (rekodi) limeuawa asante kwa mbinu chafu za CAF.
 
TP Mazembe wamesema nao wanakata rufaa ,nahisi kuna timu inweza kupeta ubingwa wa chee.Hawa waarabu washenzi kweli kwanza walianza kumfungia Tressor Mputu asicheze soka mwaka mzima jamaa bado wakachukua ubingwa
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom