Tozo Tsh. bil. 117, Vituo vya afya 234

Kituo cha Afya Mkonoo Arusha Jiji kimejengwa mwaka 1989, labda kimeongezewa jengo.
1989 Mmh, Uongo ni kosa tosha na sababu muhim ya kuondoshewa uaminifu. Wanastahili kura tena hawa kweli?
 
Mungu atutetee.Mungu hawezi kutuacha kwenye mikono yavm dhuluma.
Kama kuna dhuluma Mungu hatawaacha salama wao na familia zao
Hii ndio Tanzania aloiacha Mwalim, Alipaswa kufanya mapinduzi makubwa sana ya kikatiba akiwa bafo yupo Madarakani.
 
Wangetuwekea michanganuo yote ya Kodi za wananchi na matumizi husika! Sioni haja ya kushupalia tozo kama taifa halijawahi kujengea vituo vya afya
Wanaforce kutuhamasisha kwa mbinu za kitoto kabisa. Naona wanarudi na ule mfumo wa kuforge taarifa na wakati ndo walikua wanautumia kumponda mjomba.
 
Tena walivowapuuzi wanapost fb na hawabandiki ofisi za kata na vijiji ili wahusika washuhudie udanganyifu wao.
 
Juzi nilisema hapa kuwa waweke jedwali kuonyesha wapi kituo kipo, muda wa ujenzi kuanza, gharama ya mradi, mkoa, wilaya, tarafa, kata ama kijiji. Walichokifanya ni kuweka vituo bila kuweka udhibitisho wa muda wa mradi kuanza, na kiwango cha fedha za mradi. Serikali inachotakiwa ifahamu kuwa wajinga wameisha, uoga tu ndio umeshika kasi.
 
Wastani wa 500m kwa kila kituo, vituo vingi vikiwepo kabla Madelu hajazaliwa.

Haya watuambie na zile za covid zimejenga madarasa yapi? Kule kwa Mtetezi wa Voda shule karibia zote ni za udongo.

Zile pesa za Scotland na zenyewe tuliambiwa ni kwaajili ya green city, mikoa tajwa ishakuwa ya kijani au iko kwenye process

Miradi iliyoachwa tu mingine imekufa na mingine unaendelezwa chini ya kiwango, flyover ya Chang'ombe na Uhasibu ni takataka
 
Amin kwamba, Wajinga wameisha.
 
Majanga matupu ndugu yang SISIYEMU si watu wazuri.
 
Kama hizi tozo peke yake zimeweza kufanya mambo yote hayo, tangu tupate uhuru mapato ya nchi hii kutokana na kodi, utalii, kilimo, mauzo ya nje, mikopo, ufadhili nk, yamefanya kazi gani?
Acheni uwongo. Mnataka kuturudisha enzi ya mapapai kukutwa na virusi vya corona?
Tuliwahi kuambiwa tumejenga viwanda 4,000, viko wapi?
 
234 Health Centers/117bil.=2bil.

Naona awamu hii wametumia bilioni Mbili tu kukamilisha kituo kizima.

Sasa najiuliza zile bajet zinatolewaga mpaka 50bil. Kwa kituo kimoja huwa zinaenda wapi hizo 48bil[emoji848]
Mkuu, hesabu sahihi ni 117bilioni ÷ vituo 234 = milioni 500

Hii ndio gharama ya ujenzi kwa kila kituo cha afya. Tozo za kwenye mafuta zitatumika kununulia madawa na vifaa tiba
 
Kumekuchaaaaa, Mkalitizame na hili[emoji116][emoji116][emoji116]
 
Mkuu, hesabu sahihi ni 117bilioni ÷ vituo 234 = milioni 500

Hii ndio gharama ya ujenzi kwa kila kituo cha afya. Tozo za kwenye mafuta zitatumika kununulia madawa na vifaa tiba
Shukran kwa Masahihisho Mkuu, Karbu jamvini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…