Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,744
Picha: Toyota Wish New Model
Nimeziona hizi gari natamani kufahamu ubora na mapungufu yake. Ninahitaji gari ndogo kwa mizunguko ya town na safari za Dar Morogoro.
So iwe inatumia mafuta vizuri na pia comfortable kiasi flani. Nina gari kubwa ambayo safari za kila weekend na foleni ya kuanzia Mlandizi kuja au kwenda Dar haifai.
Naomba wenye uzoefu na Toyota Wish ambazo ni Valmatic kama sikosei zimeandikwa hivyo. Suala la fuel consumption, durability and speed.
Asanteni.