Naomba kujuzwa zaidi kuhusu Toyota Wish New Model

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,744
2009_Toyota_Wish_03.jpg

Picha: Toyota Wish New Model

Nimeziona hizi gari natamani kufahamu ubora na mapungufu yake. Ninahitaji gari ndogo kwa mizunguko ya town na safari za Dar Morogoro.

So iwe inatumia mafuta vizuri na pia comfortable kiasi flani. Nina gari kubwa ambayo safari za kila weekend na foleni ya kuanzia Mlandizi kuja au kwenda Dar haifai.

Naomba wenye uzoefu na Toyota Wish ambazo ni Valmatic kama sikosei zimeandikwa hivyo. Suala la fuel consumption, durability and speed.

Asanteni.
 
Binafsi nipo mbioni kuichukua hyo gari ila sijui changamoto zake. Ngoja tusubiri wenye experience nazo, watujuze changamoto zake.
 
Mimi ninayo namba E Changamoto ya hzo gari ni COIL ikifa haichomi na gari inakua na mis na kutetemeka coil used moja ni elfu 80 na ikiqnza kufa moja utabadilisha zote.

Ukiondoa hilo ni gari nzr kwa familia ndgo na safari inatumia 16km/L Kwa 2ZR ENGINE ambayo ni 1.8 valvematic....changamoto nyingine ina vibomba vya plastic kwenye coolant ukienda kuosha angalia wasikukatie wakati wakiosha engine gari ita heat ina kuunguza cylinder head gasket kumbuka haina gauge ya temp.

Inawaka tu taa nyekundu ya coolant! All in all ni gari nzr maana ni Toyota a engine yake ni DUAL vvti valvematic inatumika kwnye IST NEW MODEL WISH NEW MODEL, RUMION, NOAH NEW MODEL, ALLION NA PREMIO NEW MODEL KABISA! Kwa upande wa transmission in CVT na ina gear 7 automatic
 
Mimi ninayo namba E Changamoto ya hzo gari ni COIL ikifa haichomi na gari inakua na mis na kutetemeka coil used moja ni elfu 80 na ikiqnza kufa moja utabadilisha zote...
Shukra sana mkuu kwa kutoa muongozo, Mungu akipenda nitaimiliki muda si mrefu.

Nilitembea na wish old kutoka moshi hadi Dar nikatumia nusu tank, ila sikubeba abiria, hvyo nikaamini toleo la pili litakuwa bora zaidi
 
Wish huwa inachakaa mapema hasa mabampa yanachoka vibaya Sana hii gari Kwa barabara zetu za mashimo ni shida Sana..
 
we nawe LiMin-Bus lanini kutembelea?
aaargh! Tafuta gar ambayo hata ukitoka somewhere parking ipo ya kutosha.
sasa wewew unaenda kazin upo kwenye gar peke yako mgar mrefu kama nini la kazi gan hilo li gari
Siku zote kila mtu anavutiwa vitu ambavyo ww havikuvutii, hujui ni vipaumbele gani vilivyosababisha awe na chaguo hilo. Siku zote mshauri mtu changamoto za gari na faida zake na sio kuponda gari kisa ww hujavutiwa nayo.

NB; hakuna gari mbaya, pia nunua gari kulingana na mahitaji yako na sio kwa sababu unalipenda au kwa kufata mkumbo
 
Nunua gar utembelee ikifa utanunua ingne iyo sio roho
Matumizi ya mafuta ni yale yale lita 1 per 12/15kolometa sabu iyo ni Toyota

Na ugumu akuna gar ngumu ni matunzo ndo ufanya gar kua durable gar yyte ile inaitaji matunzo na kufuata mashart
 
Baaaasi
 
we nawe LiMin-Bus lanini kutembelea?
aaargh! Tafuta gar ambayo hata ukitoka somewhere parking ipo ya kutosha.
sasa wewew unaenda kazin upo kwenye gar peke yako mgar mrefu kama nini la kazi gan hilo li gari 😱 😱 😱
Nimekupata Mkuu. Ila lengo langu langu ni kuchukua family car with seating capacity of atleast 7packs. However, should also be fuels economy. Nipe best option mkuu
 
Nimekupata Mkuu. Ila lengo langu langu ni kuchukua family car with seating capacity of atleast 7packs. However, should also be fuels economy. Nipe best option mkuu
Sidhani kama anachaguo la kukupa zaidi ya chuki yake kwa hyo gari, wish ukiondoa changamoto ya kuwa chini ni gari nzuri sana inayobeba watu 7 na inakupa performance nzuri pamoja na inatumia mafuta vizuri sana hasa upate ya 1790L (1790 cc).

Gari nyingine ni Toyota Sienta nayo inakupa siti 7 na matumizi mazuri ya mafuta. Wengi hawapendi ile milango yake ya kuburuza kama Raum, maana huwa inaleta changamoto ya kugoma kufunguka kama huifanyii service mara kwa mara, pia wengine hawapendi geji zake kuwa katikati kama Ist, Vitz, Raum, Rumio n.k

Toyota wish ya sec. Generation inakupa matumizi mazuri zaidi ya mafuta inafika mpaka 16km/l ikiwa haina mzigo.

Wish new inahita utunzaji wa body sana maana sio ngumu kama wish old.
 
Alitoa maoni yake tu Kiongozi. Kwa kuwa mimi sio mtaalam wa magari naomba kama itakupendeza unipe maelezo zaidi ya wish second generation (i.e. ni wish yenye sifa zipi) ili nisipigwe na supplier.
 
Hii gari nimeikubali sana as a compact mini van. Wadau mnaomiliki jazieni yama tufanye maamuzi sahihi
 
Back
Top Bottom