Toyota Verrosa 2001 + Inahitajika.

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
352
Gari Tajwa hapo juu inahitajika haraka sana. Budjet ni 14m isizidi 72km. Dar es salaam ndio inako hitajika. Kama uko na gari hii tafadhali wasiliana kwa mail hii ford_298@hotmail.com Wasalaam Buswelu
 
mi nnayo 2000cc imetembea 33,450km tu, ongeza 4M nikuachie.
 
4M mkuu noma kama nilivyo sema ni 14m ndio last budget.....so jipange.....kwa hilo...ntaichukua kwa in next 10 days.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom